Davis Mosha, Makamu Rais Yanga apigana Uwanjani Tanga

Reyes

Senior Member
Sep 1, 2010
188
2
Amakweli Yanga imechagua wahuni kuongoza, Yanga ya sasa imevamia na wahuni ambao wanaharibu jina zuri la klabu yetu, Jana nilijivinjari uwanja wa Mkwakwani Tanga, nilishuhudia timu yangu ya Yanga ikitoka sare na Azam FC.

Baada ya Mchezo kuisha Davis Mosha alienda upande ambao Azam FC walikuwa wamekaa, akamuuliza kijana mmoja ambaye sijamtambua jina lake, "Na wewe Azam FC siku Hizi?" yule kijana akajibu mimi napenda mpira siyo sifa na Azam FC ndiko kwenye mpira wa kweli. Jibu lile lilimuudhi Mosha na kama mtu aliyepagawa akaanza kushusha makonde na Matusi kwa yule kijana

Watu walioshuhudia tukio lile wakapigwa na Butwaa, iweje kiongozi wa Hadhi ya Mosha apigane hadharani? pia wakajiuliza, hivi Mosha ana akili sawasawa?

Jamaa mmoja pale uwanjani akasema, eti hata kule kupigwa kwa Ndimbo na Mtawale wakihusishwa na imani za kishirikina Mwanza kulishawishiwa na Mosha, Alikuwa ni mosha aliyewachochea mashabiki wa Yanga wawapige akina Ndimbo halafu Mosha akakimbilia kupiga simu vituo Vya Redio kutangaza lile tukio.

Kifupi Mosha ni Mchochezi, Mzushi, Mhuni, na Mwehu, haiwezekani klabu kubwa kama Yanga kuongozwa na Mtu mwenye Tabia za Mosha kwani ipo siku atasababisha maafa kwa kuwachochea Yanga kufanya Fujo viwanjani

MOSHA JIREKEBISHE
 
leta ushahidi . sio mnagombana huko mtaani kiaina unakimbilia huku.
 
Katika pitapita yangu kwenye Google kusaka ushahidi kama media zimeripoti nimekutana na hii kwenye Facebook Page ya Azam FC

Matokeo ya mwisho Azam FC 0-0 Yanga, Azam FC imecheza soka la hali ya juu Yanga SC ilikuwa hoi dakika zote lakini uchezeshaji mbovu wa Mwamuzi na ubovu wa uwanja wa mkwakwani uliwaathiri Azam FC Lakini Samba la Itamar Tumeliona

Davis Mosha makamu mwenyekiti wa Yanga kapigana uwanjani, ni aibu kubwa kwa kiongozi wa hadhi ya Mosha kupigana uwanjani

Azam FC | Facebook
 
huyo kiongozi ni zao la Riz 1 Kikwete, ndio aliyemuweka pale kinguvu baada ya kuuvuruga uchaguzi wa Yanga
 
Kwa kifupi mimi nilikuwa uwanajni jana na tukio lilitokea,
Kwa kifupi mashabiki na viongozi wa Yanga wanahitaji kujifunza sana.
jana ni matusi kila wakati, matusi makubwa kwa kitu kidogo tu, kila mwanayanga (except very few) walikuwa wamekaa kishari na si kushangilia
Hii ni tofauti kabisa (japo mimi si mwanamsimbazi) Kwa Simba- kulikuwa na watu wakishamngilia all the time. lakini kwa yanga tofauti kabisa, Matusi na vitisho all the time, na mijitusi kibao.

Anyway ni mambo ya kibongo sana, lazima tujifunze. otherwise mpira wetu utaendelea kuwa wa kibabaishaji, maana hata mashabiki nao wana nafasi yao kuwahamasisha wachezaji. na siyo kuwatusi pale wanapokosea na sifa kiduchu wanapopatia.

nashangaa kwa wachezaji waliotoka Yanga pia, japo hawakufanya kosa lolote, mda wote mashabiki wameishia kuwatukana sana! Toafauti na wenzetu wanapokuwa na appreciation kwa wachezaji waliowaletea heshima dimbani kwao.

Kwa kifupi mashabiki hasa wa YANGA lazima tubadilike tuwe wastaarabu, tukiongozwa na viongozi wetu
 
Acha unafiki ndugu yangu, hebu jaribu kuwa mkweli kidogo tu, hao wenzetu ni kina nani? si unazungumzia ulaya bila shaka.

Hebu niambie kama washabiki wa everton wanampokeaje wayne rooney, niambie washabiki wa arsenal wanavyompokea adebayor, niambie mashabiki wa mani yuu wanavyompokea tevez, niambie mashabiki wa aston villa wanavyompokea gareth barry.

Kwenye mpira hilo ni jambo la kawaida sana, sio bongo tu. Labda issue hapa ni mosha kupigana, lakini la kuzomeana na kutukanana sio habari kabisa kwenye mpira duniani kote.
 
Ushahidi wa kutoka Azam hauwezi ukawa ushahidi huru, hivyo hakuna ushahidi bali ni porojo na uongo tu.

Ni sawa sawa facebook ya CCM haiwezi kumuandika vizuri Dr. Slaa sawa sawa vile vile Facebook ya CHADEMA haiwezi kumuandika vizuri JK.

Hapo haueleweki ina maana vyombo vya habari vyote havikuwepo? mbona hakuna taarifa hiyo.
 
Kama utakuwa makini hao wote uliowataja walishaonesha tabia mbovu kabla au baada ya kuondoka,

lakini Mashabiki wetu wamezidi sana hadi watu tunakaa hatuna amani bwana, mpira ni urafiki na siyo kama vile. yaani mda wowote unaweza kutoka ngeu!
Sisi hatuna ushabiki wa Kujenga lazima uwe muwazi!
 
labda kama mimi, niseme kuwa hiyo haikunifurahisha mwenyewetu,
na kama maoni ya shabiki lazima tuwe na ushangiliaji wa kujenga haiwezekani mchezaji wa kwetu basi anakosea halafu mijitusi kibao!
Sasa tunajenga au? lazima tuwape moyo hiyo haikuwa hivyo pia hadi tugomnbane sisi kwa sisi
 
Simba bana mbona KADUGUDA haya yalikuwa mambo ya kawaida kwake
 
kwa kifupi mimi nilikuwa uwanajni jana na tukio lilitokea,
kwa kifupi mashabiki na viongozi wa yanga wanahitaji kujifunza sana.
Jana ni matusi kila wakati, matusi makubwa kwa kitu kidogo tu, kila mwanayanga (except very few) walikuwa wamekaa kishari na si kushangilia
hii ni tofauti kabisa (japo mimi si mwanamsimbazi) kwa simba- kulikuwa na watu wakishamngilia all the time. Lakini kwa yanga tofauti kabisa, matusi na vitisho all the time, na mijitusi kibao.

Anyway ni mambo ya kibongo sana, lazima tujifunze. Otherwise mpira wetu utaendelea kuwa wa kibabaishaji, maana hata mashabiki nao wana nafasi yao kuwahamasisha wachezaji. Na siyo kuwatusi pale wanapokosea na sifa kiduchu wanapopatia.

Nashangaa kwa wachezaji waliotoka yanga pia, japo hawakufanya kosa lolote, mda wote mashabiki wameishia kuwatukana sana! Toafauti na wenzetu wanapokuwa na appreciation kwa wachezaji waliowaletea heshima dimbani kwao.

Kwa kifupi mashabiki hasa wa yanga lazima tubadilike tuwe wastaarabu, tukiongozwa na viongozi wetu

hata ulaya sio kila mchezaji anapongezwa anaporudi uwanja wa timu aliyoihama. Mechi ya kwanza aliocheza ashley cole emarate akiwana na chelsea alizomewa muda wote na kuandaliwa pound bandia zenye picha yake na maneno "cashley cole".hivi huo kwa maoni yako ulikuwa ni ustarabu??? Acha hizo wewe
 
Ushahidi wa kutoka Azam hauwezi ukawa ushahidi huru, hivyo hakuna ushahidi bali ni porojo na uongo tu.

Ni sawa sawa facebook ya CCM haiwezi kumuandika vizuri Dr. Slaa sawa sawa vile vile Facebook ya CHADEMA haiwezi kumuandika vizuri JK.

Hapo haueleweki ina maana vyombo vya habari vyote havikuwepo? mbona hakuna taarifa hiyo.
Ushahidi unao utaka wewe ni upi? je Mosha hakupigana yaani mleta hoja mzushi au unataka taarifa kutoka yanga au picha Mosha akirusha makonde
 
Ushahidi wa kutoka Azam hauwezi ukawa ushahidi huru, hivyo hakuna ushahidi bali ni porojo na uongo tu.

Ni sawa sawa facebook ya CCM haiwezi kumuandika vizuri Dr. Slaa sawa sawa vile vile Facebook ya CHADEMA haiwezi kumuandika vizuri JK.

Hapo haueleweki ina maana vyombo vya habari vyote havikuwepo? mbona hakuna taarifa hiyo.
Nenda kwenye facebook ya Kikwete uone walivyo mchana watu sikuhizi wanataka fact na siyo bla bla...kwa hiyo kama wewe ni yanga jirekebisheni na siyo kuponda eti porojo tulete ambazo siyo porojo...
 
Simba bana mbona KADUGUDA haya yalikuwa mambo ya kawaida kwake
ni kweli kadugunda alikuwa na tabia hiyo hasa ukimletea ubabe lakini alikuwa si mtu wa kumfata mtu na kuanza kumtukana au kumshambulia mara nyingi utakuta kazwa halafu yeye anamaliza iwe kwa mshabikia au kiongozi mwenzake....
 
Simba bana mbona KADUGUDA haya yalikuwa mambo ya kawaida kwake
hahahaha eti Kaduguda ilikuwa zake kupigana,umenichekesha na umenikumbusha mbali ile pub ya kwa chichi kama sikosei pale uwanja wa taifa zamani(uhuru stadium sasa) kabla ya kuingia uwanjani au mechi kuanza ya simba ni sharti umkute Kaduguda pale anakandamiza ulabu akiwa na simba friends na makomandoo wa kiume na wa kike wa simba pale,ukisifia simba tu,utasikia lete bia usihesabu watu hesabu viti.
 
Kama utakuwa makini hao wote uliowataja walishaonesha tabia mbovu kabla au baada ya kuondoka,

lakini Mashabiki wetu wamezidi sana hadi watu tunakaa hatuna amani bwana, mpira ni urafiki na siyo kama vile. yaani mda wowote unaweza kutoka ngeu!
Sisi hatuna ushabiki wa Kujenga lazima uwe muwazi!
ndio maneno yako yanaweza kuwa na pointi kidogo kama uliondoka sio kwa ubaya hawakuzomei,ila ukitaka kuwafunga kama umewakosa wanakuzomea,eg uliona Man utd vs Ac Milan pale old trafford Beckham kaingia wakamshangilia,ila alipopiga faulo ikapaa juu kidogo wakamzomea,sambamba na Thierry Henry Arsenal vs Barca emirates stadium,nae hivyohivyo kaingia kashangiliwa alipowakosa wakamzomea,Etoo nae Barca vs Inter Milan Nou camp mechi zote mbili maana walikutana mara 4,2 ktk makundi,2 ktk nusu fainali,zote alipoingia walimshangilia sana,ila kila alipogusa mpira kutaka kuwafunga hususan ktk mechi ile ya ktk makundi ambayo Barca alishinda 2-0 walimzomea mara kwa mara,hata juzi Eduardo ilikuwa tayari Arsenal kishaongoza 5-0 hata alipofunga goli hawakumind sana,ila ingekuwa ni ktk kuwania nafasi fulani ushindi mgumu wangemzomea,ulaya watu hamnazo hawajali hata kama ulileta mafanikio ktk timu ila ukicheza vs nao wanakuzomea,Gary Neville na Cristiano Ronaldo walikuwa wote wachezaji wa Man Utd ila ilipokutana Ureno na England,Neville anamchezea rafu Ronaldo utadhani hawapo timu 1.
 
Back
Top Bottom