David Silinde ana mpango wa kuendelea na ubunge?

Nafikiri ni busara kuungana na waliompongeza mleta mada na Silinde ni muhimu akayaona haya, Uongozi aw CDM taifa umsimamie kuona jimbo halitudi mikononi mwa CCM.
 
Embu mwacheni Silinde wa watu kabisa, hayo yote ni majungu tu, mimi nimekushusha ulivosema haendi jimboni? Muongo mkubwa! huyu kaka kwake dsm napajua na ni nadra kumkuta nyumbani coz anaishi zaidi Tunduma na Mbozi huko, Ukimuona ni 3 days anageuka shamba, sasa mtu afanyaje????

Visima achimbe na nini wkt sirikali haijatoa fungu? Atumie posho yake?

Unajuaje Kama asipokuwa kwake anakuwa yuko jimboni? Acha ushabiki usiokuwa na maana
 
mwenye mawasiliano na silinde amtonye aje hapa haraka atueleze ukweli.amewafanyia nini wana mbozi na watanzania kwa ujumla tangu wamwamini na kumpa kura kuwa mbunge wao?????????????????????
 
mkuu silindeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1 njoo hapa jf haraka wanajukwaa wanakuita waongee na wewe.
 

Junior Member Array


Join Date : 12th September 2012
Posts : 1
Rep Power : 0
Likes Received0
Likes Given1
Jamaa yangu post ya kwanza tu unamuua jamaa yako kwanini usimwambie? kuna wabunge wangapi hawajatimiza ahadi zao hata Rais na Chama bado na muda bado nakushauri mtafute binafsi umuelezee kwani naona wenzako wameridhika na kazi zake
 
Ni mbunge wangu huyu,ila kinachomsaidia ni kwamba wanatunduma ni maadui wakubwa wa ccm,hivyo wapo tayari kukitetea chadema kwa gharama yoyote bila kujali mapungufu ya mbunge wao.!
Na ukweli ni kwamba sehemu nyingi chadema walishinda uchaguzi si kwa sababu chadema wanapendwa au ni wazuri sana bali kwa sababu CCM imechokwa na wananchi wanataka mabadiliko.2015 wananchi watafanya hivyo hivyo,wakikuchukia,wanakupiga chini.
 
hata mm nilisoma naye ila tatizo utoto unamsumbua ushabiki wa chuo kipindi kile si kuwa kwamba unaweza kaingia huko kawa limbukeni wa posho maana alikuwa hajawahi kupata pesa na kusafiri kaMa hivi sasa. nawaomba wanambozi mwacheni amalize kipindi lkn nanyinyi acheni kuchagua masikini hata banda hana mmeyaona sasa.
 
ni kweli mi pia niliwahi kusikia malalamiko kama haya,kama ni kweli si uzushi anatakiwa kuyafanyia kazi haraka 2015 si mbali hata kidogo!!
 
Silinde kaifanyia mambo makubwa Mbozi Magharibi yake, KACHIMBA NA ANAENDELEA KUCHIMBA VISIMA VINGI ZAIDI..
 

junior member array


join date : 12th september 2012
posts : 1
rep power : 0
likes received0
likes given1
jamaa yangu post ya kwanza tu unamuua jamaa yako kwanini usimwambie? Kuna wabunge wangapi hawajatimiza ahadi zao hata rais na chama bado na muda bado nakushauri mtafute binafsi umuelezee kwani naona wenzako wameridhika na kazi zake
ni sawa kabisa,kama hawajibiki kwa nafasi yake lazima watu waseme,tusipende kulea uzembe.sio kuwa cdm ndo sababu ya kutowajibika.silinde ajibu tuhuma hizi na ajirekebishe.
 

Junior Member Array


Join Date : 12th September 2012
Posts : 1
Rep Power : 0
Likes Received0
Likes Given1
Jamaa yangu post ya kwanza tu unamuua jamaa yako kwanini usimwambie? kuna wabunge wangapi hawajatimiza ahadi zao hata Rais na Chama bado na muda bado nakushauri mtafute binafsi umuelezee kwani naona wenzako wameridhika na kazi zake

MAGAMBA @ WORK.! Big up Silinde!
 
Karibu sana jamvini .......
Ulieleta uzu huu, naona una nia nzuri sana na mdogo wako na mh. mbunge,
Cha muhimi pata nafasi mpigie simu, muhabarishe haya mambo,
Na pia naelewa kuwa CDM watafikisha hii taarifa kwa mlengwa
 
Nadhani ungemuona ana kwa ana ingekuwa fine sana, japo kuweka hapa sio mbaya pia.
 
NIkiangalia joining date yako humu jamvini na idadi ya post zako nagundua wewe ni gamba tu na huu ni uzushi..
 
MAGAMBA @ WORK.! Big up Silinde!


mkuu big up yanini tuache ushabiki wa upofu yupo sahihi mweshimiwa kuna mapungufu chama kinatakiwa kukaa nawabunge wasisaha majimbo yao kwanza kunamaneno kwamba mweshimiwa hatagombea tena anampango wakwenda kusoma hayo wewe hujui
 
hata mm nilisoma naye ila tatizo utoto unamsumbua ushabiki wa chuo kipindi kile si kuwa kwamba unaweza kaingia huko kawa limbukeni wa posho maana alikuwa hajawahi kupata pesa na kusafiri kaMa hivi sasa. nawaomba wanambozi mwacheni amalize kipindi lkn nanyinyi acheni kuchagua masikini hata banda hana mmeyaona sasa.

ni kweli mkuu huyu mh. Alikuja tunduma hata hela gesti hana achilia mbali ya kula, watu walijitolea kila kitu. Na moja ahadi zake ni kujenga nyumba ya kuishi tunduma matokeo yake hata kiwanja hana mpaka dakika hii, aliaidi kuchimba visima vya maji ikiwa ndio tatizo sugu tunduma na ndio lililompa ubunge, matokeo yake anakuja na majibu mepesi eti wakati anaaidi hakujua bei ya mtambo wa kuchimbia visima hivyo amegungundua ni gharama sana.....kuna hii barabara ya katikati ya mji kutoka maeneo ya roma mpaka polisi imekua na mahandaki badala ya mashimo,inasababisha msongamano usiokua wa lazima hasa nyakati za asubui na jioni....namshauri mh.Silinde awe makini na wanatunduma kama walimpeleka bungeni kwa pesa zao hawatashindwa kumtoa. Wananchi tunaimani kubwa sana na CHADEMA kama chama mbadala kwa kutuletea maendeleo lakini viongozi wasiowajibika sio wa kuwafumbia macho. Lazima tuwakumbushe kwa ustawi wa chadema.!
 
Natambua kuwa Silinde ni mtu mzuri na mwadilifu. Namwamini sana Silinde kwa busara zake. So naamini huenda hajatimiza ahadi hizo, kwakuwa bado ana muda katika kipindi chake, atajipanga na kutimiza ahad za wapendwa wa TUNDUMA. Angalien hiyo thread isiwe imetumwa na watu wa CCM. Peoplezzzzzz................
 
David Silinde achukue huu uzi kama changamoto kama amefanya afanye zaidi na kama alikuwa hajafanya ajipange kufanya na nyumba ajenge Tunduma gharama sio kubwa sana
 
Silinde kaifanyia mambo makubwa Mbozi Magharibi yake, KACHIMBA NA ANAENDELEA KUCHIMBA VISIMA VINGI ZAIDI..

Tusipende kudanganyana hivyo visima amechimba mtaa gani hapa tunduma, kama hapa tunduma kitovu cha mabadiliko kisiasa,hakuna mabadiliko yoyote kimiundombinu utegemee nini pembezoni mwa mji!!... ni heri mdau mmoja aliesema anampango wa kwenda shule kwa maana Hiyo hata gombea tena.. Pamoja na hayo ni kuwakatisha tamaa wapenda mabadiliko hasa wananchi wa kawaida.
 
Back
Top Bottom