David Kafulila ahamia APPT Maendeleo

meningitis

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
8,349
4,674
taarifa kupitia gazeti moja zinasema mh.kafulila azuiwa kuhutubia huko kasulu pamoja na kuwa na kibali cha kuhutubia kupitia chama cha APPT maendeleo.
je atasaidia chama hiki kupata nguvu au atakuwa kajimaliza kisiasa?je APPT maendeleo kitakuwa chama kimbilio kwa wale wote walio kwenye msururu wa kufukuzwa kwenye vyama vyao?
 
Gaazeti moja! Halina jina. Litaje, isijekuwa umesoma kipeperushi.
 
mkuu nimelisikia kupitia kipindi cha magazeti R.F.A niko mbioni kutafuta ni gazeti lipi specifically.sijakuzuia kuendelea kutafuta ukweli.
 
atakuwa kaisha kama kaenda huko kama hana shughuli nyingine lazima afulie anashindwa nini kumuomba msamaha bosi wake mbatia yaani huyu dogo mjinga sana
 
arudi Cdm, kwani si alijiodekea mwenyewe tu. Huko atasahauillka kabis.
 
Hapo ndo ntajua kumbe dogo anataka cheo. Atakuwa Mrema wa pili, hahahaha. Kweli bora sirikali iache ubabe wake na iruhusu mgombea binafsi. hahaha dogo anataka asisumbuliwe tu.
 
mkuu nimelisikia kupitia kipindi cha magazeti R.F.A niko mbioni kutafuta ni gazeti lipi specifically.sijakuzuia kuendelea kutafuta ukweli.
Mkuu hata mimi nimesikia hivyo kupitia Watanzania Tuongee Asubuhi. Ilikuwa ahutubie huko Kasulu. Sijui kwa nini asingehutubia huko Uvinza. Huenda.kweli akakimbilia kwa Mziray. Huenda chama hicho nacho kikapata nguvu taratibu
 
atakuwa kaisha kama kaenda huko kama hana shughuli nyingine lazima afulie anashindwa nini kumuomba msamaha bosi wake mbatia yaani huyu dogo mjinga sana
Kumbuka kafulila aliupata ubunge kwa yeye binafsi kuwa icon bila msaada wa mbatia.hivyo mpaka sasa yeye bado ni icon hivyo wapiga kura wanauwezo kumchagua kama yeye na sio kama chama.
 
Mkuu hata mimi nimesikia hivyo kupitia Watanzania Tuongee Asubuhi. Ilikuwa ahutubie huko Kasulu. Sijui kwa nini asingehutubia huko Uvinza. Huenda.kweli akakimbilia kwa Mziray. Huenda chama hicho nacho kikapata nguvu taratibu

ni kweli mkuu,najaribu kutafuta ni gazeti lipi?
 
Hivi kile chama cha Peter Kuga Mziray ni APPT Maendeleo au?
Naona kama hiyo "A" hapo mwanzo haipo!!!
 
Huyu dogo yuko anajikaanga kwa mafuta yake mwenyewe kama nguruwe. Ana longolongo nyingi. Polis kasulu jana walimpga stop.kama angefanya mkutano kwa tiketi ya appt maendleo basi jana ksl zingepgwa
 
Kijana mbona anahangaika sana. Mimi naona angetumia busara kutumia katiba ya chama chake na ajirudi .
 
huyu kijana angetulia na kutafuta ushauri kabla ya kukurupuka na kupoteza haiba yake ya kisiasa.
 
Hivi kile chama cha Peter Kuga Mziray ni APPT Maendeleo au?
Naona kama hiyo "A" hapo mwanzo haipo!!!

Siasa za Taznania hazikosi vituko. Kuna siku nimeona kwenye uchagzu mdogo wa Igunga, chamba kimoja kilikuwa hakijazindua campaigns zake hadi one week kabla ya uchaguzi. sasa kila siku wanakipa coverage, ofisi yake iko stand ya mabasi na ni baa. basi kila katibu wa chama wa wilaya akiwahojiwa lazima amalizie kwa kutoa shoo ya mauno. Asijekuwa amekwenda kwenye vyama vya aina hiyo???
 
Uwezi jua la moyon mwake, hata alipoodoka cdm walisema hivyo. Anaakili timamu na anajua anafanya nn. Hizo ndio siasa za tz! Just wait and see
 
ameondoka nccr bila kutarajia tofauti na alivyoondoka cdm.kiukweli ni kama amechanganyikiwa hivi.
 
Kumbuka kafulila aliupata ubunge kwa yeye binafsi kuwa icon bila msaada wa mbatia.hivyo mpaka sasa yeye bado ni icon hivyo wapiga kura wanauwezo kumchagua kama yeye na sio kama chama.
Huo ni uongo. James mbatia alitoa gari lake aina ya Ford likakaa kigoma miaka miwili kuhamasisha na kujenga chama. Lilikuwalikifanya kazi kigoma, kasulu na kibondo. Mafuta namshara wa dereva alilipa yeye mbatia. Hivyo kafulila amesaidiwa sana na mbatia, nakumbuka kipindi hicho kafulila alikuwa anavaa viatu vya mchina. TAIMA vimelika soli hadi mashino ya kwenye soli yanaonekana.
 
Back
Top Bottom