Darasa la saba waliopata maksi 60 nao kubebwa kwenda sekondari - Agizo la Kikwete

Brightman Jr

JF-Expert Member
Mar 22, 2009
1,225
232
Wadau naomba kujua matokeo ya darasa la saba mwaka 2012 yatatoka lini? Maana tuliambiwa mwaka huu yatawahi kwasababu kazi ya usahihishaji ingefanywa na kompyuta! Naomba majibu wadau mnaofahamu hili.
 
wadau naomba kujua matokeo ya darasa la saba mwaka 2012 yatatoka lini? Maana tuliambiwa mwaka huu yatawahi kwasababu kazi ya usahihishaji ingefanywa na kompyuta! Naomba majibu wadau mnaofahamu hili.
kumbe na wewee umemaliza la saba
 
Mdau kaweka hoja nzuri tu. Kuuliza matokeo hayo si lazima awe darasa la saba na hata kama ni darasa la saba kwani tatizo nini. Hata hao maprofessor wana vyeti vya darasa la saba! Acheni dharau.
 
bado wako kwenye selection wiki hii walikuwa wana tembelea mashule kukagua majengo ili kila Shule ipewe wanafunzi kulingana na uwezo wake by j5 nahisi watakuwa tayari
 
Mulugo si ndiyo Hamim? Eti alifauru peke yake kwenda Sekondari ila matokeo yako mbioni kabla ya mwakampya yatakuwa hewani.
 
Mdau kaweka hoja nzuri tu. Kuuliza matokeo hayo si lazima awe darasa la saba na hata kama ni darasa la saba kwani tatizo nini. Hata hao maprofessor wana vyeti vya darasa la saba! Acheni dharau.

Nashukuru kwa utetezi wako mkuu. Watu wengine humu wapo kwa ajili ya kuwa-criticize wenzao tu; yaani hawana cha kusema.
 
bado wako kwenye selection wiki hii walikuwa wana tembelea mashule kukagua majengo ili kila Shule ipewe wanafunzi kulingana na uwezo wake by j5 nahisi watakuwa tayari

Asante mkuu kwa taarifa yako nzuri
 
Mdau kaweka hoja nzuri tu. Kuuliza matokeo hayo si lazima awe darasa la saba na hata kama ni darasa la saba kwani tatizo nini. Hata hao maprofessor wana vyeti vya darasa la saba! Acheni dharau.

Watu wamekaa kudharau tu!
 
Back
Top Bottom