daraja lao

CRH ya mchina hiii kitu kinachapa bakora 350km / hour AIBUUUUU niliposikia sikuamini hadi nilipokwenda Expo! nikajioneaa

20.jpg
 
CRH ya mchina hiii kitu kinachapa bakora 350km / hour AIBUUUUU niliposikia sikuamini hadi nilipokwenda Expo! nikajioneaa

20.jpg
mkuu hivi vitu ni matata, vinapita utafikiri upepo
 
jamani pamoja na mambo mengine ya uchakachuaji wa bidhaa,wachina wanatisha!
 
Naona treni ya kwenda Kigoma na Daraja la Mkapa. Wapi na wapi wakulu. Tusafishe macho labda na hayo ni feki, lolz.
 
letu la kigamboni hili hapa
3-25.jpg



2-31.jpg



1-40.jpg



4-18.jpg

source http://www.skyscrapercity.com/showthread.php?p=80878032#post80878032

daraja letu bado liko sabasaba wakimaliza kulionyesha labda watalipeleka kigamboni na kuanza kulijenga
 
duh, hawa wachina wanatisha jamani, mwaka jana kwenye shanghai expo nilitembelea daraja refu sana lililoko shanghai. daraja lile linaingia baharini kiasi kwamba linaenda hadi zaidi ya upeo wa macho! wakati ule wenyeji wangu waliniambia kuwa ndilo daraja refu kuliko yote duniani! kwangu ilikuwa ni maajabu makubwa kushuhudia katika sekta ya miundombinu, pia kuna shanghai financial centre ina majengo marefu kuliko sehemu nyingine yoyote duniani! sasa kwa hili la qingdao, hakika hapa wamekufuru kabisa!!



hongera zao wenye akili, sie na magamba yetu??!!



tutajibeba!!

Ila hata sie tuna mengi ya kujivunia, ikiwa ni pamoja na kivuko cha manzese-japo nacho tulijengewa na Wajapan. Lol!
 
hivi haya majaaa hawayaoni hayo madaraja.....ktk hizo picha angalau kidogo waigi
Nakuhakikishia majamaa ya nchi hii yapo yapo tuu, yaani ukiwakuta wanavyoshangaa wakitoka nje na wanavyolalamika basi mlala hoi Kama sisi hutalalamika tena wala hutatarajia watafanya kitu chochote na wala usiwategemee kwa sababu wabalalamika kuliko hata mlala hoi.Ndio Viongozi wetu hawa.
 
article-2009748-0CCC818F00000578-642_964x604.jpg

A bridge over misty waters: The immense £1billion structure which is supported by more than 5,000 pillars stretches for 24 miles along China's eastern port city of
Qingdao to the offshore island Huangdao

article-2009748-0CC580BE00000578-775_964x594.jpg

Engineering feat: The vast bridge, the largest cross-ocean bridge in the world, cost £960million and took four years to build
article-2009748-0CCC840100000578-943_470x705.jpg
article-2009748-0CCC9D6200000578-764_470x705.jpg

Lengthy: The bridge stretches into the distance further than the eye can see and right, the first few cars roll out across the surface
article-2009748-0CCC76D100000578-210_964x591.jpg

Open road: Drivers pass through the mist as they make some of the first passes over the 110ft wide bridge which is longer than any others of its kind
article-2009748-0CCC9E0D00000578-527_964x641.jpg

Flowers: The first vehicle runs into toll station to the applause of staff and passers-by after the bridge opened to traffic today
article-2009748-0CCC994900000578-115_964x618.jpg

Musical mileage: A brass band plays on the sides of the road as flags and banners herald in the opening of the bridge
article-2009748-0CCC9E0800000578-190_964x626.jpg

The start of things to come: Two cars edge through the toll gates that will raise revenue to maintain the £1billion bridge
article-2009748-0CCC9D5E00000578-287_964x625.jpg

Don't keep me hanging: The suspension beams form an imposing sight as they reach through the clouds and look down upon colourful flags marking the bridge's
grand opening

article-2009748-0CCC76C200000578-591_964x438.jpg

The long road home: The two roads which run alongside each other wind across The Jiaozhou Bay
article-2009748-0CC580B600000578-584_964x658.jpg

Record breaker: The Qingdao Jiaozhou bay bridge, spanning 26.4 miles between Qingdao and Huangdao
article-2009748-0CCC871000000578-244_964x682.jpg

Impressive: Testing on the bridge was completed on Monday
article-2009748-0CCC9C0E00000578-834_964x667.jpg

A driver's dream: Twenty-four miles of fresh untouched tarmac stretch from Qingdao to Hungdao
article-2009748-0CCBBAFE00000578-946_964x433.jpg

SOURCE: That is a bridge too far: World's longest sea bridge opens to traffic in China... but it will only hold the title for five years | Mail Online
 
mkuu....sisi na china wapi na wapi mkuu...

wasikililize waheshimiwa hapo mjengoni wanavyoteteana kwa kulala badili ya kuwawakilisha wenyenchi...unadhani tutafika kwa namna hiyo kweli!!!???

sisi tuhangaike tu na kikombe cha babu huko loliondo, walau huku tabora kikombe cha bibi kime-expire pengine watu watakuwa na akili ya kufikiri namna ya kubadili maisha yao na siyo kutegemea miujiza ya kikombe..yale yale ya mwenge kuleta maendeleo!!!

huwa najiuliza hivi hao waliondelea wana mienge mingapi???!!!!!
 
mkuu....sisi na china wapi na wapi mkuu...

wasikililize waheshimiwa hapo mjengoni wanavyoteteana kwa kulala badili ya kuwawakilisha wenyenchi...unadhani tutafika kwa namna hiyo kweli!!!???

sisi tuhangaike tu na kikombe cha babu huko loliondo, walau huku tabora kikombe cha bibi kime-expire pengine watu watakuwa na akili ya kufikiri namna ya kubadili maisha yao na siyo kutegemea miujiza ya kikombe..yale yale ya mwenge kuleta maendeleo!!!

huwa najiuliza hivi hao waliondelea wana mienge mingapi???!!!!!

kweli mkuu, yaani sisis ni kikombe tuu na ngoka eleven
 
kuna baadhi ya majimbo ya china yana uchumi mkubwa kuliko nchi za afrika, teh teh, yaani kama ingekua bongo, unakuta uchumi wa mwanza au kilimanjaro unafunika nchi kadhaa za africa,
 
Back
Top Bottom