daraja lao

NDINDA

Platinum Member
Apr 4, 2011
10,332
47,084
[h=2]WHEN WILL WE REACH THEM: CHINA’S JIAOZHOU BAY BRIDGE…!!!Posted by Blog Team on July 1st, 2011[/h]
A sign that reads: “Shandong Highway Corp. invests to operate Shandong Highway Jiaozhou Bay Bridge” is seen at Qingdao Jiaozhou Bay Bridge in Qingdao, Shandong province June 27, 2011.The world’s longest sea bridge spanning Jiaozhou Bay of Qingdao City, Shandong Province, opened on Thursday, June 30, 2011. The bridge is 42 km (26 miles) long, Xinhua News Agency reported. Picture taken June 27, 2011. A band plays during the opening ceremony of the Qingdao Jiaozhou Bay Bridge in Qingdao, Shandong province June 30, 2011.The world’s longest sea bridge spanning Jiaozhou Bay of Qingdao City, Shandong Province, opened on Thursday. The bridge is 42 km (26 miles) long, Xinhua News Agency reported. Qingdao Jiaozhou Bay Bridge is seen in Qingdao, Shandong province, in this general view taken June 27, 2011. This photo taken Wednesday, June 29, 2011 released by China’s Xinhua news agency shows the Jiaozhou Bay Bridge in Qingdao, east China’s Shandong Province. China opened Thursday, June 30, 2011, the world’s longest cross-sea bridge, which is 42 kilometers (26 miles) long and links China’s eastern port city of Qingdao to an offshore island, Huangdao.
 
Zile mbio za mama Clinton zote kuja Bongo ni kuwaogopa hawa jamaa, wasikamate hiyo Uranium. Sasa ujinga wetu ni kwamba hatujui ile kitu ina thamani kiasi gani tungalijua tungenufaika mnooo, maana tungewaringia tukawapa masharti magumu sana tena kwa kuwatishia tunaingia mkataba na IRAN wa kuchimba Uranium, tungeweza pata mikataba yenye UHAI.
Mchina bana anaelekea kuwa super power Mmarekani anahangaika sana kuzuia hiyo hali lkn si miaka mingi Mchina atatawala hii dunia.
 
duh, hawa wachina wanatisha jamani, mwaka jana kwenye shanghai expo nilitembelea daraja refu sana lililoko shanghai. daraja lile linaingia baharini kiasi kwamba linaenda hadi zaidi ya upeo wa macho! wakati ule wenyeji wangu waliniambia kuwa ndilo daraja refu kuliko yote duniani! kwangu ilikuwa ni maajabu makubwa kushuhudia katika sekta ya miundombinu, pia kuna shanghai financial centre ina majengo marefu kuliko sehemu nyingine yoyote duniani! sasa kwa hili la qingdao, hakika hapa wamekufuru kabisa!!

hongera zao wenye akili, sie na magamba yetu??!!

tutajibeba!!
 
Sasa hivi ulaya imebaki jina tu kaka, hawa jamaa hawakamatiki. Ulaya sasa imebaki magofu lkn miji ya hawa jamaa ni kiboko. Hata shule sasa mkasome china ulaya ilikuwa zamani


[h=2]WHEN WILL WE REACH THEM: CHINA'S JIAOZHOU BAY BRIDGE…!!!Posted by Blog Team on July 1st, 2011[/h]
A sign that reads: "Shandong Highway Corp. invests to operate Shandong Highway Jiaozhou Bay Bridge" is seen at Qingdao Jiaozhou Bay Bridge in Qingdao, Shandong province June 27, 2011.The world's longest sea bridge spanning Jiaozhou Bay of Qingdao City, Shandong Province, opened on Thursday, June 30, 2011. The bridge is 42 km (26 miles) long, Xinhua News Agency reported. Picture taken June 27, 2011. A band plays during the opening ceremony of the Qingdao Jiaozhou Bay Bridge in Qingdao, Shandong province June 30, 2011.The world's longest sea bridge spanning Jiaozhou Bay of Qingdao City, Shandong Province, opened on Thursday. The bridge is 42 km (26 miles) long, Xinhua News Agency reported. Qingdao Jiaozhou Bay Bridge is seen in Qingdao, Shandong province, in this general view taken June 27, 2011. This photo taken Wednesday, June 29, 2011 released by China's Xinhua news agency shows the Jiaozhou Bay Bridge in Qingdao, east China's Shandong Province. China opened Thursday, June 30, 2011, the world's longest cross-sea bridge, which is 42 kilometers (26 miles) long and links China's eastern port city of Qingdao to an offshore island, Huangdao.
 
duh, hawa wachina wanatisha jamani, mwaka jana kwenye shanghai expo nilitembelea daraja refu sana lililoko shanghai. daraja lile linaingia baharini kiasi kwamba linaenda hadi zaidi ya upeo wa macho! wakati ule wenyeji wangu waliniambia kuwa ndilo daraja refu kuliko yote duniani! kwangu ilikuwa ni maajabu makubwa kushuhudia katika sekta ya miundombinu, pia kuna shanghai financial centre ina majengo marefu kuliko sehemu nyingine yoyote duniani! sasa kwa hili la qingdao, hakika hapa wamekufuru kabisa!! hongera zao wenye akili, sie na magamba yetu??!! Nakubaliana na wewe kabisa mwaka 2006 nilikuja shanghai na jengo refu kuliko yote lilikua jinmao tower 88 floors, mwaka 2010 nilikuta mini mwingine shanghai world financial center SWFC floor 100, sass hivi pembeni maw haya make go mawili kuna mini mkali unajengwa unakamilika 2014 unaitwa shanghai tower, ndani ya miaka michache watt hawa wanaweza kulibadilisha eneo na usilijue, wakati wanaadhimisha miaka 30 ya reforms walizofanya, yaani kufungua milango ya nchi Yao kwa ulimwengu, kuna watt wanaofanya kazi mijini walihadithia waliporudi majumbani mwao vijijini walishindwa kuamini macho Yao na walidhani wamepotea njia, maana mambo yamebadilika hata vijijini watu wanaishi katika villaKaribu shanghai
5884915190_ce10df731c_b.jpg
69592df8jw1di3ekdsdqhj.jpg
na juzi juzi wamezindua treni ya Mwendo kasi iliypunguza muda wa safari kufika masaa kumi mpka matatu shanghai mpka beijng
 
Wale wenzangu wa San Francisco na San Mateo Bridge (moja ya madaraja marefu USA) hamna la kusema. Kwa daraja hili lazima wachina tuwaheshimu.
 
thanks mkuu Ndinda,

nilipopata fursa ya kutembelea china kwa mara ya kwanza, kuna kaka mmoja alisomea uhandisi urusi na aliwahi kwenda china kwa field, aliniambia kuwa miundombinu ya china ni maajabu, so nijiandae kuishangaa!!

yaani kwa mapicha haya ya treni mpaka nimepotea njia. hivi hapo kuna picha ya ile treni inayotoka uwanja wa ndege wa pudong kuelekea katikati ya jiji la shanghai? manake kuna wakati ile treni ilkuwa inashikilia rekodi ya dunia kwa mwendo kasi. na hiyo hongqiao railway station kwa kweli ukishuhudia kwa macho huo mtandao wa eeli hapo kituoni unaweza kudhani unaota mchana kweupe!

hawa watu sio siri, katika eneo la miundombinu ya reli na barabara, hakuna nchi inaweza kuwafikia!! kuna mhadhiri mmoja alisema china pekee ina theluthi moja ya mtandao wa reli duniani!!
 
Tunge team-up na hawa jamaa tangia enzi za Urafiki na TAZARA labda tusingekuwa hivi leo hii! Matokeo yake tulioamua kuwafuata na wenyewe wanageukia uko! Tabu kweli kweli
 
Tunge team-up na hawa jamaa tangia enzi za Urafiki na TAZARA labda tusingekuwa hivi leo hii! Matokeo yake tulioamua kuwafuata na wenyewe wanageukia uko! Tabu kweli kweli

labd tunaweza kuwaomba tushirikiane, treni zetu speed kali ni 40km/h za hawa watu ni mara kuni ya treni zetu
 
Tunge team-up na hawa jamaa tangia enzi za Urafiki na TAZARA labda tusingekuwa hivi leo hii! Matokeo yake tulioamua kuwafuata na wenyewe wanageukia uko! Tabu kweli kweli

Tatizo letu siyo nani tunateam up nao. Tatizo letu ni sisi wenyewe hatutaki kutumia bongo zetu kuondokana na matatizo yanayotukabili. Tunaandaa bongo zetu ili tutakapokufa zije kuliwa na funza zikiwa fresh. Hawa jamaa wa China wali team up na wazungu wa magharibi kwa lengo la kujifunza na kubadilisha hali zao za maisha. Na kila technolojia mpya inayopatikana wanaijaribu kwao kwa ajili ya maendeleo ya nchi. Hapa kwetu viongozi wana team up na wazungu kuiibia nchi kwa ufisadi na rushwa.
 
Jamani lakini nasisi pia tumo, kwani si tumepanga baada ya Miongo kadhaa ijayo tutajenga Daraja la Kigamboni?
 
tukiacha kuibiana tunaweza kuwafikia hawa, au hata ama sio kuwafikia basi nasi tukaendelea.
chinna ilifanya mapinduzi ya kijani miaka ya 1945.leo ni miaka 66tu.
lakini kwa namna hii ya kupiga hata poshotu bungeni kiukweli hata baada ya miaka 200 bado hatutakua hivi.
 
Jamani lakini nasisi pia tumo, kwani si tumepanga baada ya Miongo kadhaa ijayo tutajenga Daraja la Kigamboni?

letu la kigamboni hili hapa
3-25.jpg



2-31.jpg



1-40.jpg



4-18.jpg

SOURCE http://www.skyscrapercity.com/showthread.php?p=80878032#post80878032
 
Back
Top Bottom