DAR: Zitto Kabwe ameachiwa kwa dhamana, ametuhumiwa kuvunja sheria ya makosa ya mtandao na kutoa takwimu za uongo

Huwa nashindwa kusema kitu kuhusu Zitto kwa sababu alishaharibu sana huko nyuma!! Atapata shida sana kuungwa mkono!! Jamaa ni mtu masilahi sana!! Ni tofauti na kina Lissu na Kina Mbowe!!
 
Pole sana Zito. Lakini nindhuluma, uonevu dhidi ya wenye haki ndivyo hujenga ujasiri. Binafsi nakupongeza maana umeweza kuonesha hakuna anayeweza kuzuia sauti za haki iwe kwa jela au risasi. Risasi ziliweza kuzuia mdomo wa TL kunena kwa muda, lakini ulifunua mdomo ZZK na Kigalia.
 
Hivi haya wanayosema watanzania hawajui kipi bora anayesema au anayejua na yupo kimya? Kuwafunga kunasaidia nini katika ujenzi wa Taifa?
 
Hivi aliyekuwa mbunge wa Nchinga miaka nyuma Bwana MUDHIHIR MUDHIHIR yuko wapi siku hizi?
 
Nguvu wanayotumia kupambana na upinzani wangeitumia kuwaletea wananchi maendeleo tungekuwa mbali sana .Kama umechaguliwa upo kwenye ofisi za umma hutaki kukosolewa njia rahisi aachia nenda kakae familia yako huko. Tumekabithi nchi kwa malimbukeni na washamba wa madaraka.
 
sasa jeshi la mtu mmoja nani ataandamana ili wamtoe ! wamfunge tu hana faida uraiani labda waswahili wa ujiji watakuwa wanaona faida yake! kazi ya kuipa mitaa majina kamaliza
 
Kuna watu huwa wanasema kuwa ni CCM B, hawa huwa siwaelewi na sitakuja kuwaelewa. ZITTO ni mtu mwngne sana, sasa ile hotuba ya juzi ni hard stone na leo kakamatwa.
 
Back
Top Bottom