gfsonwin
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 18,274
- 20,673
- Thread starter
- #21
lara 1 nyumban kwa mtu ni big nooo ndio maana tuko tayari kwenda sehem ambayo hatutalipia lkn at least tutakuwa tumeweka utaratibu wa kila mtu kula na kunywa na ku have fun so far 20000/= kwa wengi ni hela ambayo akitoka kwenda nayo bar anaimaliza kwa bia tu pasi na kulaHahahaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!! Kama nilivosema hata 100 sina hapa ila ya Party hio 20,000 nyingi sana ilia ibidi nitaizaaaa! Embu tuache kufanya party kama harusi! 20,000 yote ya nini? Tufanyeni cocktail house party!!!!! Mtu ajitolee jumba lake kiingilio kila anekuja analeta drinks ndo anaingia!!!! Kama soda inabidi ulete kreti! Swala la kuleta TOTOZ nzuri mniachie mie ila mkichunwa viwanja na mijumba yenu mie simooooo!!!!!!!!
Mambo ya kutiririsha bier usiku kucha! Hakuna viti wala ratiba ni kusocialize 24/7 kila mtu na wake!!!!!! Aluuuuuuuuuuuu!!!!!! Wadhamini manajitolea snacks!!!!! (Najua hiziz pary za ki Belasconi wa Italy hamziwezi ma GT wa JF)
Last edited by a moderator: