DAR WING -wa WHITE PARTY

Hahahaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!! Kama nilivosema hata 100 sina hapa ila ya Party hio 20,000 nyingi sana ilia ibidi nitaizaaaa! Embu tuache kufanya party kama harusi! 20,000 yote ya nini? Tufanyeni cocktail house party!!!!! Mtu ajitolee jumba lake kiingilio kila anekuja analeta drinks ndo anaingia!!!! Kama soda inabidi ulete kreti! Swala la kuleta TOTOZ nzuri mniachie mie ila mkichunwa viwanja na mijumba yenu mie simooooo!!!!!!!!

Mambo ya kutiririsha bier usiku kucha! Hakuna viti wala ratiba ni kusocialize 24/7 kila mtu na wake!!!!!! Aluuuuuuuuuuuu!!!!!! Wadhamini manajitolea snacks!!!!! (Najua hiziz pary za ki Belasconi wa Italy hamziwezi ma GT wa JF)
lara 1 nyumban kwa mtu ni big nooo ndio maana tuko tayari kwenda sehem ambayo hatutalipia lkn at least tutakuwa tumeweka utaratibu wa kila mtu kula na kunywa na ku have fun so far 20000/= kwa wengi ni hela ambayo akitoka kwenda nayo bar anaimaliza kwa bia tu pasi na kula
 
Last edited by a moderator:

Tichaaa mi nimekubaliana na wewe sema hapo nilikuwa namchangamsha Madam B kidogo asubuhi hiii!!!!!!Ofcourse sisi watu wazima hatuwezi fanya party ya vijana!!!!!!! Hapo tu nilikuwa nakumbukia the DARK DAYS!!!!!!! We endelea na mipango niachie Madam B nimchangmshechangamshe!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
hiyo 20 ni single au double ?
maana kule Tanga kuna watu walikuja hadi na nyumba ndogo 3
 
DID ANY BODY SAY PARTYYYYYYYYYYYYYYY!!!!!!!!! Woooooooooooooooooow!!!!!!!!! Jamani jamani naomba niwemo kamati ya maandalizi!!!!!!!!! Party na Event Management is my thingyyyyyyyyyyy!!!!!!!!!!!!!!! Kwa miparty ya 21st century naomba niwemo kamati ya maandalizi!

Japo hapa nilipo sina hata mia ya kula mchana wa leo!!!!!!!!

Unaniangusha best, si umshtue yule rafiki yako baba nanihii! LOL:becky:
 
Baba nanii alinipa MBESA ya mwaka mpyaaaa! (I swear!) Nimepukuta yoteeeeeee! Sasa lile zimwi nalolijua silikuli likaisha!!!! Ila sitokosa hiyo money!!!!!!! Ikibidi nitafanya magumashi kwa ofisi!!!!!!
 
Hahahaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!! Kama nilivosema hata 100 sina hapa ila ya Party hio 20,000 nyingi sana ilia ibidi nitaizaaaa! Embu tuache kufanya party kama harusi! 20,000 yote ya nini? Tufanyeni cocktail house party!!!!! Mtu ajitolee jumba lake kiingilio kila anekuja analeta drinks ndo anaingia!!!! Kama soda inabidi ulete kreti! Swala la kuleta TOTOZ nzuri mniachie mie ila mkichunwa viwanja na mijumba yenu mie simooooo!!!!!!!!

Mambo ya kutiririsha bier usiku kucha! Hakuna viti wala ratiba ni kusocialize 24/7 kila mtu na wake!!!!!! Aluuuuuuuuuuuu!!!!!! Wadhamini manajitolea snacks!!!!! (Najua hiziz pary za ki Belasconi wa Italy hamziwezi ma GT wa JF)

Weeeeeeeeeeee............ unataka watu tuwaache akina Chimbuvu wetu, we lara 1 acha maneno hayo.
Hapo kwenye Bold ndio Patamu.
Fanyeni Mandingo kbs, Ila Mkikwama Kbs mimi Niko tayari mje kuifanyia hii Pary hapa kwa Bi Mkubwa Kinondoni.
Ila tusikilize maoni ya wadau kwanza.
 
Last edited by a moderator:
Tichaaa mi nimekubaliana na wewe sema hapo nilikuwa namchangamsha Madam B kidogo asubuhi hiii!!!!!!Ofcourse sisi watu wazima hatuwezi fanya party ya vijana!!!!!!! Hapo tu nilikuwa nakumbukia the DARK DAYS!!!!!!! We endelea na mipango niachie Madam B nimchangmshechangamshe!!!!!!

haya mm nakusubiria kwenye kupangilia hii shughuli so far kuna added task ambazo nitamwelekeza snowhite akuambie ili uziandae kabisaaaaaaaaaaa! hope mc wetu atakuwa wewe sio??
 
Last edited by a moderator:
Baba nanii alinipa MBESA ya mwaka mpyaaaa! (I swear!) Nimepukuta yoteeeeeee! Sasa lile zimwi nalolijua silikuli likaisha!!!! Ila sitokosa hiyo money!!!!!!! Ikibidi nitafanya magumashi kwa ofisi!!!!!!

lara 1 umenifurahisha walah nimecheka at least kibaridi kimepungua! ni PM nikukopeshe masharti na vigezo kuzingatiwa lakini
 
Weeeeeeeeeeee............ unataka watu tuwaache akina Chimbuvu wetu, we lara 1 acha maneno hayo.
Hapo kwenye Bold ndio Patamu.
Fanyeni Mandingo kbs, Ila Mkikwama Kbs mimi Niko tayari mje kuifanyia hii Pary hapa kwa Bi Mkubwa Kinondoni.
Ila tusikilize maoni ya wadau kwanza.

Hii ya Party ya Tichaa inakuwa CLASSY ngoja huko mbeleni tutaandaa ya ki BELASCONY!!!!!!!!! Ni Over 18 tu na under 40 ndo wanarhususiwa!!!!!!! Ila for now tumaintain the standards za tichaaa! Mambo classic tu baaaaaaaaass!
 
Back
Top Bottom