Chiu
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 375
- 111
Not once, not twice,....
see you can't compare road found in Nairobi and Dar.
the best means of transportation come from infrastructure.
hope you agree with me
Not once, not twice,....
Nawaambieni ukweli mambo yamefikia point of no return, muache kutafuta pa kushikilia kwa kuburuza Nairobi kwenye msiba wenu. Haya mabasi mliyazindua mkitegemea kupunguza msisimko wa UKAWA, lakini wapi, jamaa wamekomaa hadi October 25, watani wote wa Tanzania akina kadoda11 wameziba maskio na macho, huku mtawaona baada ya uchaguzi, hawalali wala nini, ni mambo ye kuangusha chama ndio gumzo la mjini.
Nimekua pale Arusha kwa shughuli fulani, aisei acha tu bana.
Hizi hapa ni kampeni za CCM, siyo?
A little too late, too dumb.
Sasa badala ya kuweka mabarabara kwanza kuweza kutumiwa na magari haya...
Barabara ya BRT ile ya 13KM tu iliwachukua mwongo mingapi kuijenga eti, na bado kabisaa kukamilika
Nairobi shocked? ?? With what? Hayo mabasi? ...huku ni kujitekenya na kucheka mwenyewe!
Nawaambieni ukweli mambo yamefikia point of no return, muache kutafuta pa kushikilia kwa kuburuza Nairobi kwenye msiba wenu. Haya mabasi mliyazindua mkitegemea kupunguza msisimko wa UKAWA, lakini wapi, jamaa wamekomaa hadi October 25, watani wote wa Tanzania akina kadoda11 wameziba maskio na macho, huku mtawaona baada ya uchaguzi, hawalali wala nini, ni mambo ye kuangusha chama ndio gumzo la mjini.
Nimekua pale Arusha kwa shughuli fulani, aisei acha tu bana.
Kujitekenya??? Wakati Nairobi inazindua matatu yaliyopakwa rangi za ajabu ajabu na freemasonry symbols, Dar wanazindua machines....​
Hayo mabasi ya kuwapokonya watu kazi zao hatuyataki kenya ,hii ni aibu hufai kuyazungumzia sasa hao touts si watageuka na kuwa wezi ama wale waganga hua tunawaskia eti "mganga toka tanzania". hiyo ni kuongezea nchi umaskini