Dar unveils its Modern Commuter Buses

Paulo

JF-Expert Member
Jan 5, 2009
350
66
Modern commuter buses have been unveiled in Dar es salaam. The event marked an important milestone in the history of improving the transportation system in this East Africa's most populous commercial city. This is a clear testimony that the city of Dar es Salaam is leading other East Africa cities when it comes to providing its commuters with high quality and express transit connecting suburban residential areas and city center.
1.png
Above is one of the fleet of 76 new modern buses measuring 18 meters long with a capacity to carry 180 passengers.
2.png
Wakati wakenya wanapiga siasa za kikabila Dar continues to work hard to attain its ambitious dream of becoming a a New York of East Africa come 2025.
3.png
Interior view
4.png
5.png
6.png
 
Watani mtaisoma namba this time. EA wote mnakaribishwa Tanzania kupata selfie mkiwa ndani ya mabasi haya ya kisasa.
 
Hivi wewe Paulo ulishawahi kufika Nairobi au unaongea tu?
Acha ushamba Kiraia. I know Nairobi very well. Ninapoingia Nairobi mchana nikiwa na Kenya Airways huwa napata view nzuri sana ya jiji la Nairobi. In fact, intra-city public transport in Nairobi is a big challenge
 
Huu uzi hauna mashiko kabisa, kwa kigezo kipi hapa eti kusema kwamba 'Nairobi is shocked big time'??!! Myonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, kwa hili hatutendi haki kwa watani wetu wa jadi, si haki kabisa
Hivi wewe umewahi kupanda matatu Nairobi? kwanza kupata bus is an issue...halafu hawana mabasi ya kisasa. Haya mabasi yaliyoziduliwa dar this week ndiyo yanayotumiwa Ulaya pia...
View attachment 277863
Hiyo ndio express bus ya Nairobi
 
Back
Top Bottom