mikatabafeki
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 12,772
- 4,641
kitaeleweka tu
Arusha! Mwanza! Leo Mbeya na Udsm! Kesho mabomu yatalindima ikulu!! Pole sana jk achia ngazi mapema kabla hayajakufika ya marehemu hayati the late Ghadafi.
Itafika mahali ffu watashindwa kuzuia nguvu ya umma.
mimi naomba siku moja tuliwashe kotekote yaani dar,arusha,mbeya,mwanza...
Umenena. Elimu ni ufunguozamani tulidhani elimu iwe kwa wahasibu na madaktari tu ila askari std VIII na Form IV Div ... ni kwa ccp! Sasa angalai 'mavuno yake, nina imani kama polisi (hasa walioko kwenye fields) wangekuwa wamefikia kiwango cha elimu cha wanaowapiga mabomu wangengelijua what are those students demanding and what it takes!