Dar: Mabomu na risasi Ubungo

MBUFYA

JF-Expert Member
Aug 15, 2011
445
68
wakuu mimi nipo maeneo ya msewe, lakini muda wa dakika tano zilizo pita nimesikia milio ya mabomu na risasi maeneo ya ubungo au chuo kikuu cha dar es salaam, kama kuna mtu yupo kwenye eneo la tukio atujuze kuna nini.
 
thax kwa taarifa wakuu, poleni sana vijana tupo pamoja.
 
Mabomu kila mahali, sio dar, sio mbeya, sio arusha! ifike mahali tuanze kureview criteria za kuwapa watu mamlaka katika vyombo vyetu vya dola
 
jamani kwani walivyoandamana walitoka nje ya chuo ila nna wasiwasi FFU wa DAR walikuwa wamemisi sana kupiga mabomu
 
yaah ilikuwa hapa maeneo ya geti maji. wanafunzi walikuwa katikati. police walikuwa njia panda ya chuo na wengine walikuwa kwenye geti maji. mabomu yalipopigwa wanafunzi walikimbilia kwenye viwanja vya chuo baadhi walifanikiwa kuingia kwenye geti la coet. mabomu yalio pigwa yanaweza yakazidi 70. ila wanafunzi kadhaa wamekamatwa na wengi wamejaa matope maana kwenye viwanja vya michezo kuna sehemu kuna maji maji. nikiweza niwawekea video.
 
Arusha! Mwanza! Leo Mbeya na Udsm! Kesho mabomu yatalindima ikulu!! Pole sana jk achia ngazi mapema kabla hayajakufika ya marehemu hayati the late Ghadafi.
 
iko cku watu watazoea magereza na watazoea mabomu ya machozi sasa sijui nini kitaendelea
 
zamani tulidhani elimu iwe kwa wahasibu na madaktari tu ila askari std VIII na Form IV Div ... ni kwa ccp! Sasa angalai 'mavuno yake, nina imani kama polisi (hasa walioko kwenye fields) wangekuwa wamefikia kiwango cha elimu cha wanaowapiga mabomu wangengelijua what are those students demanding and what it takes!
Wamekamata wanafunzi wengi sana kama 40 hivi nadhani wamewapeleka Mabatini Kijitonyama.
 
Back
Top Bottom