DAR: Jenerali Ulimwengu apata ajali, alazwa Muhimbili

Pole sana Mr Ulimwengu ,Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi upone haraka utoke hospitali uendelee na majukumu yako.
 
Huyu jamaa ni critic nguli wa watawala na mbaya zaidi utawala huu hauvumilii wala hautaki kujaribiwa,hope this is not what my dirty mind think what it is.
 
Huo ni mchakato kuelekea utawala wa kiimla.
1. Serikali inaamua kwamba inataka iongoze kiimla
2. Kisha inatengeneza matukio, au inatumia matukio (ya kihalifu/mabaya) yaliyotokea kuwatengenezea hofu raia kwa mbinu za kisirisiri
3. Raia kwa hofu waliyoipata "wanaiomba" serikali iwasaidie kudhibiti hali hiyo
4. Serikali "inaitikia ombi la raia" la kudhibiti huo "uhalifu" ili kurejesha amani kwa kutangaza hali ya hatari ambapo mambo mengi ikiwemo haki za kiraia yanapigwa marufuku "hadi hali itakapokuwa imetengamaa". Hapa ikumbukwe kwamba solution hii iliyokuja hatua ya nne, ndiyo hasa ilikuwa objective katika hatua ya kwanza, ni kama cycle fulani hivi.

Kama uliuliza kwa nia njema nina hakika umeelewa.

Ni kama mbinu aliyotumia rais wa Uturuki -Ardogan kwa kujitengenezee coup ili apate nafasi ya kuwaazibu na kunyamazisha wapinzani wake na kwa hilo Ardogan kafanikiwa ingawa ni kwa short term maana wananchi nao si wajinga.
 
kwanza toa upuuzi wako wa vitisho,halafu hakuna sehemu jamaa kamtaja mtu yoyote ila wewe unajistukia utafikiri umetajwa wewe!

There you are! A like mind suddenly springs up out of the blue kutetea wachochezi/wazushi.

Kwanza ukiangalia kwa macho hiyo gari inaonekana ilihama njia - in addition gari ya saizi ndogo kama ile haiwezi kugongwa ubavuni alafu windscreen, kioo cha mlango wa nyuma vikabaki intact alafu dereva akahumia kichwa na sio mkono, mguu wa kulia au kihuno, Mganga kasema kichwa ndiyo kidogo kinamsubua/tatizo bila shaka hiyo ilisababishwa na whiplash baada ya impact hilo ni jambo la kawaida - mimi ndiyo maana na insist kwamba akijisikia vizuri aeleze ukweli kilicho tokea kama: alikuwa sober au alilala usingizi wakati akiendesha gari - yeye ni mtu anafahamika kwa harakati zake Nchini hivyo haipendezi kwa baadhi ya members kujaribu kuhusisha ajali ya kawaida na baadhi ya watu au current Administration!!! Msijaribu ku set a very bad precedence zenye lengo la kumwagia petrol kwenye a naked flame - fanyeni siasa zenu lakini sio kuzulia/singizia watu.

Kitu kingine wapi nimetisha watu, wapi? kwa nini unaji- feel jumpy au ndio hiyo "the guilty are always...." we unasema mimi mpuuzi - fine - lakini unacho sahau ni kwamba kauli zenu za kichochezi na kizushi linaweza kutumbukiza Taifa letu kwenye turmoil hisiyo na kifani, je, wewe binafsi na kundi lenu mnafikiri mtafahidika nini TANZANIA ikiwa consumed na conflagration ya chuki za kisiasa?
 
This diagram exactly depicts our current state as a nation.

The Hegelian Dialectic and its use in Controlling Modern Society:
In order to avoid falling victim to the Hegelian Dialectic from now on you must remember the process involved. Anytime a major problem or issue arises in society think about who will gain or profit from it. Then remove yourself from the equation and take a step back to look at it from a third party perspective. See the so-called “problem”, look at who is reacting, why and in what way. Then look for who is offering up the solution.

When you do this from now on you’ll quickly see the real truth instead of the false truth they wanted you to see.
 
Your words express that you should be one of the conspirators who conspire to eliminate all those who are behaving against the current regime.
How comes that his car has been hit exactly on his driving seat? it does not need great intelligence to realize that this is absolutely conspiracy.
The accident is seemingly to be very much intentional, the driver who caused the accident drove straight to Jenerali's car intending to hit him to death.
investigation must be held to get out the entire truth.
sabotage isn't acceptable.

Unatumia akili za choo kufikiri, pole.
 
Hivi MTUKUFU Magufuli huwa anazielewa kweli zile makala za Kiingereza aandikazo Bw. Ulimwengu?

:D

Hahah....Aah wapi, hana taarifa na kizungu yule. amekariri madawati. sizani hata ukimwuliza adefine mkukuta kama anaweza kutoa majibu vizuri..
 
Mwanzo hakukua na habari kama hii nikashindwa kuchangia ,ila baada ya kusoma hapa ndio naweza toa mchango wangu ,
yaani ameokotwa na wasamaria ? Aliyemgonga kakimbia ? Ajali inatokea maeneo ya ubalozi wa Ufaransa halafu pasiwepo na watu wa kutoa msaada mapema ,mpaka aje aokotwe ,hapo hilo gari lilipopata ajali kuna alama zozote ?

Ajali ilipotokea ilikua ni kwenye junction au kwenye straight road ?
Hii dunia imebeba mengi sana ,

Kweli mkuu, Dunia hii imebeba mengi sana na usiku huwa na maswahibu mengi sana. nilishazimikiwa na gari salender bridge usiku wa saa nane, yaani niliona vitu ambavyo sijawahi kuona. nilikuwa na kitoy changu cha kujilinda, nilipiga risasi nyingi sana mpaka police wakaja. Mwenyezi Mungu amponye haraka mzee wetu ulimwengu.
 
Atakuwa kama alilewa akiendesha alikuwa anaona barabara yote kila upande yake akiwaza kuwa ni haki yake kikatiba kuendesha kila upande na kukata kokote kwa sababu katiba inatoa uhuru wa kwenda popote.Si unajua pombe zikikolea.
Acha mizaha mkuu, mwenzio anaumwa..anastahili huruma hasa kwa muda huu anapoihitaji familia yake na watanzania wenye mapenzi mema more than ever...
 
Huyu jamaa ni critic nguli wa watawala na mbaya zaidi utawala huu hauvumilii wala hautaki kujaribiwa,hope this is not what my dirty mind think what it is.

what do you think men? share with us..
 
There you are! A like mind suddenly springs up out of the blue kutetea wachochezi/wazushi.

Kwanza ukiangalia kwa macho hiyo gari inaonekana ilihama njia - in addition gari ya saizi ndogo kama ile haiwezi kugongwa ubavuni alafu windscreen, kioo cha mlango wa nyuma vikabaki intact alafu dereva akahumia kichwa na sio mkono, mguu wa kulia au kihuno, Mganga kasema kichwa ndiyo kidogo kinamsubua/tatizo bila shaka hiyo ilisababishwa na whiplash baada ya impact hilo ni jambo la kawaida - mimi ndiyo maana na insist kwamba akijisikia vizuri aeleze ukweli kilicho tokea kama: alikuwa sober au alilala usingizi wakati akiendesha gari - yeye ni mtu anafahamika kwa harakati zake Nchini hivyo haipendezi kwa baadhi ya members kujaribu kuhusisha ajali ya kawaida na baadhi ya watu au current Administration!!! Msijaribu ku set a very bad precedence zenye lengo la kumwagia petrol kwenye a naked flame - fanyeni siasa zenu lakini sio kuzulia/singizia watu.

Kitu kingine wapi nimetisha watu, wapi? kwa nini unaji- feel jumpy au ndio hiyo "the guilty are always...." we unasema mimi mpuuzi - fine - lakini unacho sahau ni kwamba kauli zenu za kichochezi na kizushi linaweza kutumbukiza Taifa letu kwenye turmoil hisiyo na kifani, je, wewe binafsi na kundi lenu mnafikiri mtafahidika nini TANZANIA ikiwa consumed na conflagration ya chuki za kisiasa?
again unaongea ujinga,mimi nipo kundi gani?uchochezi upi?
 
Back
Top Bottom