DAR: Jenerali Ulimwengu apata ajali, alazwa Muhimbili

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,896
Mwanahabari, Mwandishi na Mwenyekiti wa Bodi ya Gazeti la Raia Mwema Jenerali Ulimwengu amepata ajali Dar es Salaam asubuhi mapema leo.

Yupo hospitali ya Muhimbili kitengo cha mifupa Moi kwa matibabu.

Tutaendelea kuwaletea taarifa.

Mwanahabari Huru
CqxXkThWcAQOn-Z.jpg


IMG_20160826_114200.jpg
 
Pole sana Mr ulimwengu!tunakutakia kila la heri na upone haraka....urudi kutuandikiaa makala Zako......zenye ujazo wa hali ya juu
 
Back
Top Bottom