Dar hadi moro ukaguzi wa trafiki mara tano!

simplemind

JF-Expert Member
Apr 10, 2009
16,409
9,183
Taratibu ya Trafiki kukagua gari mara tano au zaidi kwa safari isiyozidi 200 km ni usumbufu mkubwa(Trafik check kibaha,mlandizi,chalinze,mikese, morogoro round about) Gari ndio zile zile ,ukaguzi kila kukicha wa nini? Kwa wenzetu trafic checks huwa random(kushtukiza) mara mojamoja. Kinachoendelea siyo lolote ila institutionalized corruption.
 
Wapuuzi tu kaka hao ukitembea na buku buku unapita, unajua serikali haina akili kwa sababu kiini cha ajari hawakijui. Kwani traffic hata siku moja anaweza kukagua matairi ya gari na akasimamisha safari? Lakini ajari nyingi za mabasi zinasababishwa na matairi kupasuka tena ya mbele. Badala ya kukaa na kuangalia matairi yepi yenye ubora na iwe recommended na magari yakaguliwe kabla ya kuanza safari wenyewe wanaanza mpango wa rushwa.
 
Tuangalie upya mamlaka makubwa waliyopewapolisi kutoa notification. Wanajifanya wao ni miungu ya barabarani. hawajui sheria, hawafanyi kazi inayostahili wao ni hela tu.

Nadhani kwa ntindo huu lazima kuna watu wanafaidika na hizi notification zinazotolewa, sio bure.
 
Taratibu ya Trafiki kukagua gari mara tano au zaidi kwa safari isiyozidi 200 km ni usumbufu mkubwa(Trafik check kibaha,mlandizi,chalinze,mikese, morogoro round about) Gari ndio zile zile ,ukaguzi kila kukicha wa nini? Kwa wenzetu trafic checks huwa random(kushtukiza) mara mojamoja. Kinachoendelea siyo lolote ila institutionalized corruption.

Kuna jamaa pale njia panda ya kwenda Chamwino Ikulu Dom, hata kama uko full kwa kila doc zinazohusu gari hawakwachii. Rushwa ndiyo sera yao.
 
Tuangalie upya mamlaka makubwa waliyopewapolisi kutoa notification. Wanajifanya wao ni miungu ya barabarani. hawajui sheria, hawafanyi kazi inayostahili wao ni hela tu.

Nadhani kwa ntindo huu lazima kuna watu wanafaidika na hizi notification zinazotolewa, sio bure.

Kuwa makini sana na hawa jamaa, wanatengeneza "notification books" za kwao. wanajifanya hawachukui mlungula (dokezo sabili) wanakimbilia kuandika mwisho wa siku ni mgao kuanzia askari waliopo point, ocs traffic,ocd inaenda mpaka kwa rto unakuta nae ana fungu lake. ni syndicate flani
 
Ndio maana mimi kila nikiandikiwa notification huwa nademand government receipt. no receipt no money paid
 
mkuu, check points ulizozitaja ni tano, lakini kuna nyingine zile za 'deal' kwenye tochi.....pale kabla ya mlandizi, pale mdaula, mbele ya mdaula kwenye kijiji flani kinachouza mkaa sana.
 
Back
Top Bottom