Dar Express chukua hatua, gari zuri linaishiwa mafuta njiani

Jana nimetoka Moshi na basi lako kufika mwananchi llimekata mafuta. Tumekaa zaaidi ya masaa mawili kusubiri mafuta toka Pugu.

Boda boda mmoja mrangi kaleta mafuta na dumu lita 20. Basi zuri dragon inakataje mafuta njiani. Chukua hatua mapema. Haina afya kibiashara
Umetoka Moshi, umefika Dar mpaka hapo Tabata Mwananchi bado umeganda ndani ya bus kusubili mafuta?
 
Jana nimetoka Moshi na basi lako kufika mwananchi llimekata mafuta. Tumekaa zaaidi ya masaa mawili kusubiri mafuta toka Pugu.

Boda boda mmoja mrangi kaleta mafuta na dumu lita 20. Basi zuri dragon inakataje mafuta njiani. Chukua hatua mapema. Haina afya kibiashara
VAR check.gari ikifika stand ya mbezi imeshafika dar hakuna faul hapo ndugu
 
Baada ya kusoma nimejiuliza sana, hii Mwananchi ni ya Dsm ama ni Tanga? Yaani anapoteza muda kwa nauli isiyozidi 2000!

Ama la! Salio lilikata kabisa.
Mnajua alikuwa na mizigo kiasi gani?

Mnajua alibakiwa na pesa ngapi mfukoni?

Hata hivyo ina maana mnaona kama angeondoka akapanda daladala au uber basi haina shida basi kuishiwa mafuta njiani sio?
 
Jana nimetoka Moshi na basi lako kufika mwananchi llimekata mafuta. Tumekaa zaaidi ya masaa mawili kusubiri mafuta toka Pugu.

Boda boda mmoja mrangi kaleta mafuta na dumu lita 20. Basi zuri dragon inakataje mafuta njiani. Chukua hatua mapema. Haina afya kibiashara
Badounapaandaaahizibodabodaaaa
 
Mnajua alikuwa na mizigo kiasi gani?

Mnajua alibakiwa na pesa ngapi mfukoni?

Hata hivyo ina maana mnaona kama angeondoka akapanda daladala au uber basi haina shida basi kuishiwa mafuta njiani sio?
Kama basi linapita Mbezi Magufuli terminal ukiwa na mizigo vile vitoli ni buku Tu kukupeleka mpaka Mbezi kwenye terminal ya daladala, unapanda daladala za gongo la mboto buku tu.
 
Jana jioni nikiwa natoka Moshi nilikutana na Kilimanjaro maeneo ya Msata limepark pembeni kuna msimu ya mafuta
 
Back
Top Bottom