DAR: Ajali yaua mwanafunzi Mbezi Beach, Kituo cha Shule

Amalinze

JF-Expert Member
May 6, 2012
6,784
5,285
Habari wanabodi,

Gari imemgonga mwanafunzi wa kike na kufariki papo hapo, gari imekimbia, kwa sasa polisi ndio wanafika eneo la tukio.

20170728_063455.jpg

Amegongwa mida ya 06:32 Asubuhi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Assumptions:

1.Ufinyu wa vituo vingi vya dala dala ni tatizo kubwa, inabidi vituo vijengwe kama kile cha mawasiliano (simu 2000).

2.pia dala dala nyingi zinaingia kwa mwendo wa kasi na Fuji nyingi vituoni.

3.pia na sisi abiri tunakaa bila tahadhari vituoni na kugombea magari wakati hayajasimama..

R.I.P wa kusoma.
 
Polisi alikuwepo,Gari ndogo ilikuwa inapita kwa kasi sana ndio iliyomgonga na kumtupa kwenye Eitcher hiyo kwa Chini,amepasuka kichwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pale watu. Mida ya saa 12 asbh huwa wanashindana kuwahi foleni huku mbele kuanzia lugalo, so huwa panatisha kwa mtu makini, na ukijisahau pale siku yoyote ujue ni zamu yako ,
 
Back
Top Bottom