Damu hii itawatafuna

Benno

JF-Expert Member
Nov 21, 2009
332
51
Damu hii.jpg
Inasikitisha sana.
JK aliwakilishwa na nani katika hili?












JF UTA TOA TENA NA HII POST?
 
Nyie nao,mnaendeleza tu kila sehemu kuanzisha thread ile ile!unakua uchafu sasa
 
Nyie nao,mnaendeleza tu kila sehemu kuanzisha thread ile ile!unakua uchafu sasa

.....unaonekana ni mmoja wa wale ambao damu ile inawaandama na kuwatafuna.......! lipi ni uchafu zaidi....kuongelea sana mauaji yale au mauaji mliyoyafanya......? tunajua hamtaki kusikia mambo yale yanaongelewa lakini kumbuka historia imeshaandikwa na will be spoken and taught kwa vizazi vyote......!
 
Auae kwa bunduki nae atakufa kwa bunduki...
Damu iliyo mwagika itawatafuna mmoja baada ya mwingine
 
poleni sana wafiwa na waathirika wa kadhia hii; damu na mateso yenu hayatapotea bure; mungu atalipa hapa hapa duniani kwa wakati wake
 
Back
Top Bottom