Dalili za Magonjwa ya akili

101 East

JF-Expert Member
Feb 25, 2015
1,040
2,122
Habari za muda mrefu Wanajamvi
Leo 14 siku ya kumbukizi ya kifo cha Baba wa taifa na ni siku nne tangu kilele cha maazimisho ya siku ya MAGONJWA ya akili ambayo huazimishwa kila mwaka tarehe 10 October

Tukiwa ndani ya wiki ya maazimisho ya MAGONJWA ya akili takwimu zinasema Kati ya watanzania 10 basi mmoja anaugua au anaugonjwa wa akili
Naam takwimu haziongopi kwani MAGONJWA ya akili yapo zaidi ya 360 duniani nami si daktari Ila Kwa experience yangu nimeyashuhudia machache Kwa watu wangu wa karibu
Cha Kwanza tukumbuke sio kila anayeugua magonjwa ya akili Eti amerogwa mengine ni matatizo ya vinasaba (genes) za vizazi vyetu
Wengine tunarithi kutoka Kwa wazazi wetu

Ugonjwa wa AKILI ninao zungumzia hapa sio wa mtu kuokota makopo au mtu kumkuta jalalani Bali ni dalili za mapema mno ambazo mtu anakuwa anaishi nazo Ila hajafikia kuwa critical

Dalili za MAGONJWA ya akili zipo nyingi kama madaktari wa AKILI wanavyotueleza ni vema tufike kwenye vituko vya afya vya rufaa mkoa tukaonana madaktari (psychiatric) wa AKILI Kwa ajili ya tiba

Dalili za MAGONJWA ya akili ni hizi
1.kumchukia mtu bila sababu
2.wasiwasi na hofu
3.hisia hasi za maisha yako yajayo(future)
4.kukosa usingizi
5.stress
6.kupoteza tumaini la kuishi
7.kujishusha thamani
8.kutojithamini
9.kuwa na msongo wa mawazo (depression)
10.kuweweseka usiku
11.kupoteza hamu ya Kula
12.kuwa na huzuni Sana
13.kuwa na furaha Sana
14.hisia za utu kukuondoka
15.kuwa na hasira bila ya sababu
16.kushindwa kuhimili stress
17.kuongea peke yako
18.kuona taswira ambazo wengine hawazioni
19.kusikia sauti za watu ambazo wengine hawazisikii
20.kuhisi vitu vitu vinatambaa mwilini au usoni
21.kuhisi watu wanakukimbiza au kutaka kukujeruhi
22.kutaka kujiua au kujidhuru mwenyewe

Kwa dalili hizo chache nashauri tuwahi hospital mapemaa kupata tiba kabla Hali haijawa mbaya
Magonjwa ya akili yanatibika na wala si ya kulogwa
download%20(3).jpg
download%20(1).jpg
download%20(2).jpg
 
Magonjwa ya akili yanatibika na wala si ya kulogwa View attachment 2387426View attachment 2387428View attachment 2387429
1,2,10,15 mimi nahitaji muongozo maan
 
Back
Top Bottom