dalili za CHADEMA kuunda serikali ya umoja wa kitaifa Zanzibar zaanza

mopaozi

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
3,301
520
Chadema mkaze buti mwaka 2015 kuiiondosha CUF zanzibar kura mlizopata UZINI ni dalili tosha kuwa nyie mtakuwa chama kikuu cha upinzani zenj na mgombea wenu wa urais awe HAMAD RASHID CUF kwishney!!
 
Ila yale matokeo yanaonesha wazi kuwa lile jimbo lina masikini wengi na wajinga wengi.
 
Back
Top Bottom