- Wanyama kusafirisha nje ya nchi kinyemela
- Bajeti za wizara 3 kukataliwa bungeni
- Kuchangisha taasisi zilizo chini ya wizara ili bajeti ipite
- Ukosefu wa umeme nchi nzima
- Garama za maisha kuwa juu kutokana na uzembe wa watendaji
- Waziri mkuu kudanganya bunge mara kwa mara
- Safari za raisi kwenda nje ya nchi zaweka rekodi duniani
- Mauaji ya Albino
- Mauaji na unyanyasaji wa raia mgodi wa North Mara
- Jaji mkuu A.Ramadhani kuondolewa ulinzi kinyume cha sheria