Daladala

nimecheka mpaka basi...
sasa watu hao,wapo pia maofisini...
unakuta haupo kwenye mood ya story,mtu huyo....hanyamazi...

tehteheh.........afu watu wa hivyo wanapenda uwasikiilize..........akiona haumsikilizi anakutaja jina, et...fulani au kukurefer kila mara
 
hapo umpe konda nauli haijatimia atakutukana had ukome!ila ukimwambia kabla hujapanda haina shda!daladala zina raha yake bana.
 
Mmmh, we muongo na kamwe usiwapotoshe wenzio.................dereva hasimami,......anasimamisha gari
<br />
<br />
habari yako binafsi mwenzetu. Juzi tu nimemwambia dereva simama kasema hadi aambiwe na konda. Madereva wa bongo bana!
 
Jungle mentality ya kugombania daladala ilinishinda. Unajikuta unapigana vipepsi na mama mwenye mimba, au watoto wa shule na vilema. Konda kijana kijinga kijinga kinawa control watu wazima na akili zao eti mkifika Posta anaitisha abiria wapya kabla mliomo ndani hamjashuka, halafu mnajikuta mnamgombania mpaka kushuka kama stone age neanderthals. Nilikuwa najaribu ku save on gas nikaona you know what, this bull crap ain't worth losing my humanity, eff daladala.
 
Abiria akiombwa nauli utasikia "Nimekaa vibaya" cha ajabu simu ikiita anaitoa kwenye mfuko huohuo ambao una hela hata kama kweli alikaa vibaya.
 
hapo umpe konda nauli haijatimia atakutukana had ukome!ila ukimwambia kabla hujapanda haina shda!daladala zina raha yake bana.


hata ukimpatia 10,000 ili akate nauli...........wanapenda kufoka, oh.......kwanini hukuja na hela ndogo, sasa unadhani mimi chenji ntaitoa wapi
 
Ukikaa siti ya mbelembele akaja babu/bibi watu wanakuangalia wewe ili umpishe, akishukia njiani mtu mwingine anakaa kwenye ile siti hata kama aliona ulimpisha mtu.
 
Ukikaa siti ya mbelembele akaja babu/bibi watu wanakuangalia wewe ili umpishe, akishukia njiani mtu mwingine anakaa kwenye ile siti hata kama aliona ulimpisha mtu.

mi sipendi hii..........afu usipompisha wanakuchukulia vibaya! ila these vunerables wakati mwingine wanafanya makusudi, wanaona gari limejaa afu wanakomaa kupanda wakijiamin kupewa msaada wa siti
 
Jungle mentality ya kugombania daladala ilinishinda. Unajikuta unapigana vipepsi na mama mwenye mimba, au watoto wa shule na vilema. Konda kijana kijinga kijinga kinawa control watu wazima na akili zao eti mkifika Posta anaitisha abiria wapya kabla mliomo ndani hamjashuka, halafu mnajikuta mnamgombania mpaka kushuka kama stone age neanderthals. Nilikuwa najaribu ku save on gas nikaona you know what, this bull crap ain't worth losing my humanity, eff
daladala.

leo asubuhi konda alikuwa mkorofi kama nini ........anatufokea kama watoto wadogo
"oyaaa nyie sogeeeni hukooo, mnarremba kitu gani, sogea mi nipate hela hapa!!!!!!"
 
Konda mmoja asubuhi asubuhi anawaita wasafiri huku akisema "ya kuwahi Posta, njoo twende kazi zenyewe za wahindi hizi ukichelewa soo". Niliona aibu, kumbe makonda wanajua tunavyohenya.

Afu kwenye daladala za saa kumi na moja na kumi na mbili asubuhi watu wote wamelala, tena wengine wanakoroma kabisa. Unamaizia usingizi kwenye gari.
 
Makonda wa magar ya muhimbil huwa hawataj vituo wanavyopita, wao wana stick na wod utasikia Sewa haji..!, Moi..!, Mwaisela..! Yan wanadhan wote n wagonjwa.
 
Kna cku tulikuwa kwny folen,sasa kna muuzaj maji akawa anapita kwa konda kila saa "pata maji bariiiid maji bariiid". Kumbe konda kile kitu kilikuwa kinamuuma khee! Akaropoka "bwana acha ku2pigia makelele unatupa maji barid, ugal uko wap, au unadhan kila m2 amekula mchana" bas dah gobole zima la mbagala likaripuka kicheko.
 
basi lipo tuupu,halafu mtu anaacha vitu vilivyo wazi
anakuja kukaa pembeni yako...na harufu ya jasho juu lol
 
Back
Top Bottom