Daktari anamiliki "pharmacy" dawa anaiba hospitali halafu anadai ajira inalipa

Hemedy Jr Junior

JF-Expert Member
Feb 17, 2023
908
1,064
Ukiona mtu anasifia kuajiriwa mchunguze sana, wengi wapigaji! Ona mfano mdogo; mwalimu hana posho au marupurupu ndo maana kila siku analalamika. Mapolisi nao, hivyo hivyo.

Kuna mambo mengi sana kwenye ajira, ukiona mtu anasema anapata milioni 5 mshahara matumizi yake bei gani kwa siku? Na amewekeza wapi?

Mshahara pekee hauwezi kuendesha maisha yako ya kila siku. Iko hivyo.

Waajiriwa wanapiga madili yao.
 
Najua huwezi niamini ila kuna watu wamebarikiwa nyoyo za kuzirika na kichache kinachomtoshereza na kipande cha mkate na glass ya maziwa! ....
umewekeza au nawe unasubiri usitaafu wakupe kiunua mgongo ukanunue gari afu uanze kutusumbua mtaani
 
Unabisha kwa kufahamu au umetoa maoni tunaona mengi kijana
Umeuziwa kitu gani kilichoibiwa hospitali ni kutokuelewa kwako tuu eti mtumishi ahamishie dawa dukani kwake.
Unadiscuss kitu usicho na idea nacho at all.

Nani arisk mtaji wake kijinga hivyo eti ununue dawa za serikali uuze mtaani.


Kama ni upigaji upo kwa modality nyingine siyo hii unayosema ya mtumishi kuiba commodities kisha akaweke pharmacy kwake ... hiyo haipo
 
Umeuziwa kitu gani kilichoibiwa hospitali ni kutokuelewa kwako tuu eti mtumishi ahamishie dawa dukani kwake.
Unadiscuss kitu usicho na idea nacho at all...
Kwamba we ndo unayeuza au ? we unatetea madoctor nadhani umegushwa 😁😁😁 niko pale we wakwanza wakuchunguze
 
Back
Top Bottom