Mzee John Malecela inavyoelekea hajui mkataba wa 1890 kati ya waingereza na wajerumani. Amesema awali mkataba ulikuwa katikati ya Ziwa. Baadaye mpaka ulihamishiwa upande wa Tanzania na magavana wa kikoloni. Kimsingi hoja nyingine yuko sahihi.
Suala hili hawezi kuzungumzia mpaka aulizwe. Wiki ijayo ataendelea lakini sidhani kama Semunyu ameona umuhimu wake!Hakuongelea kwanini alilikubali AZIMIO LA ZANZIBAR ? Sababu tunataka kujua benefit's zake ni zipi? Au ndio tumedondoka kabisa?