TAARIFA MUHIMU: Kuanzia Mei 12 hadi Mei 15 tutakuwa na marekebisho makubwa kwenye tovuti hii. Endapo hutotupata, fuatilia yanayojiri kupitia FikraPevu au JamiiForums on Facebook
ndetichia,pole sana mkuu utafanikiwa tu mana fikra pevu imekaa kisiasa zaidi..
Now this message sounds SEXY. Thanx Invisible you are a God sent! :cheer2:Erotica,
Haimaanishi kuwa HATUTAKUWA HEWANI KABISA, hapana... Kuna baadhi ya watu wanaweza kutukosa hewani. Tumekuwa tukipokea mails zinazoonyesha wengine wanakosa access; ndo maana tukatoa alternative links ili mtu azichukue mapema ili pindi akiona hatupo hewani ajaribu kuwasiliana nasi kupitia viunganishi hivyo.
Shukrani
teh teh teh.ngoja niwahi kufaidi...nitumie facebook id yako pls
Hahahahaaaa BADILI TABIA pole sana mwaya....tutamisiana eeeeh?mi nilivyoiona tu huyo msg nikapata homa, na hivi tarehe 12 sio mbali......nitaborekaje
mi nilivyoiona tu huyo msg nikapata homa, na hivi tarehe 12 sio mbali......nitaborekaje