Dah Mei 12 hadi 15...

MR. DRY, haimaanishi kuwa hatutokuwa hewani kipindi chote, baadhi ya watu wanaweza wasitupate.

Namna mbadala ni kufuata links tulizotoa na huko tutakuwa na watu wa kutoa updates za kinachojiri.

Mara zote, maendeleo yana athari zake, lakini lengo ni kuboresha na kuimarisha zaidi.
 
Last edited by a moderator:
isije ikawa one way invisible wengine ndiyo source yetu kujua nchi inaendeleaje.
 
TAARIFA MUHIMU: Kuanzia Mei 12 hadi Mei 15 tutakuwa na marekebisho makubwa kwenye tovuti hii. Endapo hutotupata, fuatilia yanayojiri kupitia FikraPevu au JamiiForums on Facebook

Invisible huu ujumbe uliotuwekea kwenye jf banner sijaupenda. Not sexy at all. Hizo siku 4 nitaishije Erotica na maumivu haya? Na huko Fikra pevu sio wanasiasa tu? Ngoja basi nika upload my new sexy pics kwenye wall yangu fb.

No mwaaah. sad news. :israel:
 
Erotica,

Haimaanishi kuwa HATUTAKUWA HEWANI KABISA, hapana... Kuna baadhi ya watu wanaweza kutukosa hewani. Tumekuwa tukipokea mails zinazoonyesha wengine wanakosa access; ndo maana tukatoa alternative links ili mtu azichukue mapema ili pindi akiona hatupo hewani ajaribu kuwasiliana nasi kupitia viunganishi hivyo.

Shukrani
 
Now this message sounds SEXY. Thanx Invisible you are a God sent! :cheer2:

Nishajiwekea sitakuwepo kwa watakao kosa, no way!
 
mi nilivyoiona tu huyo msg nikapata homa, na hivi tarehe 12 sio mbali......nitaborekaje

Khaa! Wewe nawee!
Uboreke kiaje? Una maana hiyo kifaa unayotumia ku'surf Jf , haipati access ya Judgement Forums ?
Mbona wenzio wengi washajiunga na LImtandao langu? Uzuri wa forum yangu siku ukijiunga tu, tunakupa na mke mazee !
 
Last edited by a moderator:
Nimeona tangazo lao hapo juu,lakini uzoefu unaonesha kuwa walio wengi huwa hawasomi matangazo hayo labda kupitia njia hii.

tangazo lenyewe ni hili hapa

TAARIFA MUHIMU: Kuanzia Mei 12 hadi Mei 15 tutakuwa na marekebisho makubwa kwenye tovuti hii. Endapo hutotupata, fuatilia yanayojiri kupitia FikraPevu au JamiiForums on Facebook

Mods mkiona nimekosea basi ondoa hii thread
 
Hivi wewe ndio Invisible? Wapo wameandika JF inafungwa kupisha matengenezo?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom