AshaDii
Platinum Member
- Apr 16, 2011
- 16,190
- 18,080
Habari wapenzi woote wa hapa JF Hopefully weekend hii ndefu na Eid ilikua pouwa... Hii thread ni a dedication kwa yalowakuta....lol... Enways....
Naomba observe closely vipengele hivi kumi (10) vifuatavo . Alafu baada ya hapo utaona na kufuata maelekezo hapo chini ili uweze kutupatia jibu Zingatia kua mara nyingi hii ni kwa ile newly discovered and founded LOVE .. Thou to baadhi ya Lucky ones yawezekana hata ulonae mda Mrefu kukuweka katika baadhi ya hivo vipengele..
- Je unatabasamu kila saa bila sababu za msingi (in relation na mahala uliopo) i.e popote pale watabasamu . Tabasamu kubwaaaa! Bila kujali uko wapi, umezungukwa na nani ama nini unafanya . For instance mwingine aweza tabasaamu hata yupo uani yaani ile involuntary!
- Are you mumming kila saa ama mara kwa mara?? Unakuta kila mara yaani wee unajisikia kuimba; kawimbo Fulani Fulani kanakutawala mara kwa mara akilini, moyoni hadi mdomoni Hako ka music ni from nowhere but kako stuck in your heart and brain!
- Roho inadunda with anticipation kila ukimuona mhusika . Ama ukahisi his/her presence bila hata kugeuka kumuona.. ama ukiona kitu chake chochote ambacho kinakukumbusha the person in question Yaani in short lazima mapigo ya moyo yabadilike anapokua karibu ama ukijua karibu atakua karibu
- Huna raha usipomuona mda mrefu hasa kama hujui ni wakati gani utamuona Maana the good thing ya kujua wakati gani utamuona hata kama hayupo ni kwamba at least you have days/hours/minutes to count ukimsubiria kwa hamu na uvumilivu ..
- Je morali ya kufanya kazi imepungua?? Kazi unaona sasa ni mzigo na ile siku zoote ilikua ni rahisi kwako unaona kama vile kubwaaa, nzito na yakuzingua tu! Hata ujitahidi kujituma ufanya mapema na within your deadline limits bado kwako ni mtihani kumaliza hio kazi (labda tu on the condition ni lazima uimalize na una matumaini ya kumuona muhusika mda Fulani nje ya eneo la kazi); Na wakati mwingine kati kati ya kazi wajikuta umeduwaa mpaka wewe mwenyewe sometimes unajishtukia then unaendelea na kazi kama kawa . Thou kwa kujisukuma..
- Ukisikia jina lake ni lazima ushtuke!! Na utake kujua ni nini wanamuongelea huyo mhusika . Beta yet unakuta watu wanamazungumzo yao hata kama nawe upo/haupo katka hayo mazungumzo unatafuta sababu yoyote ile ya kuingizia jina lake ama story yoyote ambayo mhusika yupo, ili tu upate excuse ya kumuongelea . Maana ndo furaha yako, na ole wake atakae ongelea negative . Hapo hapo anakua adui in a cold war mode ..
- Ukijua tu kua unaonana nae ama atapita maeneo uliopo unahakikisha kua uko presentable yaani kimavazi na muonekano, lazima utataka ujiangalie kwenye kioo ili tu kuhakikisha sura yako inaonekana pouwa (as if itakua imebadilika lol) Kama hutaki walo kuzunguka wakushtukie waweza jimwagia hata kinywaji makusudi, yaani ili mradi upate sababu ya kunyanyuka kwenda kujipanga uvutie pale wewe utaporidhika kua yastahili...
- Are you forever thinking about yaweza kuwaje kataka maswala ambayo ni related na faragha i.e Kissing touching the naked body na the like?? Yaani sometimes iko worse mpaka waweza pata wet dreams (saa ingine bila hata dreaming as in the imagination pekee ya kupeleka ) unahisi kabisa kua upo nae or that umefanikiwa kabisa kwenda third base na it was Great!
- Upo katika a more peaceful mood?? Mtu yeyote wa karibu nawe akikuudhi unaona sawa tu (hasa kama wee ni short temper) But hasira zoote zimeisha kabisa. Mtu kukuudhi afanye kazi ya ziada na hata ukiudhiwa wee mara moja unasamehe Huna hiana . Maisha kwako ni mazuri na hayatakiwi yachafuliwe kwa hasira . After all you are happy and content
- You feel like you are no longer you you feel lost you feel helpless hasa ukijua na kuhakikishiwa kua kile ambacho unataka kiwe kwa mhusika . Yaani hayo mahusiano you are dreaming of .. Hayawezekani!
Katika the above ten, kama umeobserve kwa Makini na Umeelewa na the answer is YES to all or not less than seven atleast . Then rafiki . Please do declare to us Members kwamba I think I am in LOVE and Thank God its Eid!
(Na kama ushawahi pitia hio phase, at least you were in Love once ..)
Naamini kabisa kuna mengi nimeacha hivo nitaomba members wenzangu wanisaidie kwa kuongeza mengine na kujadili niloweka hapa kama mwakubaliana nayo ama Lah!
Pamoja Saaana
AshaDii.
(I love this Love related quote)
I have loved to the point of Madness,
That which is called madness,
That which to me is the only sensible way to Love F. Sagan.