Dah!! “I think I am in LOVE…..” TGI-Eid!!!

Bieng in love?...... to me is when am in love with you, Yes, you my darling shem!!!

Shem naomba niongezee dalili nyingine za kua in love... (ukikazana na hii habari utafanya hommie asiwe anakubali vile ambavo tupo close and free)
 
Haha dada mmiliki ......kama ni masikio na macho kashika hasaa.

Saaaafi saaana!! Kwa raha zenu bana... Haki ya kua mnayo kama ya kupendana pia.... Chauro niongeze dalili zingine....lol
 
Thank you
Yaani it happen unaposikia au unapokuwa mbali nae au unaposikia lolote kumhusu moyo unakuruka kwa sababu unampenda
So to say it again nampenda na nitampenda as long as maisha ninayo

Alafu R' unajua hujaniambia ni nani?? Is it wifi yangu?? maana haya mambo ya assumption sio kabisa!
 
Huna raha usipomuona mda mrefu… hasa kama hujui ni wakati gani utamuona… Maana the good thing ya kujua wakati gani utamuona hata kama hayupo ni kwamba at least you have days/hours/minutes to count ukimsubiria kwa hamu na uvumilivu…..

Hii umenikamata mwanawane....... Duh we acha tu..........
 
Shem naomba niongezee dalili nyingine za kua in love... (ukikazana na hii habari utafanya hommie asiwe anakubali vile ambavo tupo close and free)
Wivu!......... Yaani nikiona janaumenisilolijua linaongea na mai waifu wangu, karoho kananiuma kweli! Yaani nataka awe anaongea na mimi tu! Ndo maana huwa siendagi kazini kwake kumtembelea nahisi ntamharibia kibarua chake....... kulaaaaleki wallah!
 
Yeah Dear
Yeye na yeye peke yake
Was he and now she is the one and she will be the one and only one

Dah! Rocky a dedication to you.... From Trey Songs....

Last edited by a moderator:
PA sometime inabidi ufukie mashimo na kukubaliana na hali halisi
Maana huwezi kupigana na wakati every time
We tatizo unapenda wengi na hutaki kuushinda moyo wako kusema kuwa huyu ndo ninayempenda kwa dhati
Hamna banaa.......
 
Wivu!......... Yaani nikiona janaumenisilolijua linaongea na mai waifu wangu, karoho kananiuma kweli! Yaani nataka awe anaongea na mimi tu! Ndo maana huwa siendagi kazini kwake kumtembelea nahisi ntamharibia kibarua chake....... kulaaaaleki wallah!

Now you are talking shem... now you are talking....
 
PA sometime inabidi ufukie mashimo na kukubaliana na hali halisi
Maana huwezi kupigana na wakati every time
We tatizo unapenda wengi na hutaki kuushinda moyo wako kusema kuwa huyu ndo ninayempenda kwa dhati
Love is honesty, being faithful, and trusting them to go the same, these are 3 main things at least, Love is not an emotion it only works the emotions. That's how it tricks you. Its harder to love someone than you think as well. Somethings can be forgiven, some cant.
 
Naomba anijibie Asprin, mimi mbado...
Jana nilimtembelea bro. dah ameleta House girl mkali balaa nampigia mahesabu

Hii ni habari njema.... Jipange na kuoa kabisa bana Fidel.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom