adakiss23
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 4,477
- 4,270
Yan unakutana na mdada unavutiwa nae unapenda awe rafiki yako. Unamwaga sumu zako. Kabla hata hajalainika vizuri anaanza kutaja shida alizonazo.. Mara ooh sijala.. Kodi imeisha natakiwa nilipe ndani ya wiki hizi mbili.. Mara ooh mama anaumwa nahitaji pesa.. Mara ooh kuna viatu nimeviona pale for you 2 mlimani city.. Yaani mpaka jamaa anaghairi. Basi bibie tutawasiliana nna namba yako ntakupigia. Style Up bana! Sisi sio migodi bana! Hata kama nmevutiwa kweli nae.. Nikiangalia hiyo list ya matatizo moyo unapotelea juu kwa juu!
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums