Dada zangu punguzeni njaa.. Khaaah!

adakiss23

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
4,468
4,239
Yan unakutana na mdada unavutiwa nae unapenda awe rafiki yako. Unamwaga sumu zako. Kabla hata hajalainika vizuri anaanza kutaja shida alizonazo.. Mara ooh sijala.. Kodi imeisha natakiwa nilipe ndani ya wiki hizi mbili.. Mara ooh mama anaumwa nahitaji pesa.. Mara ooh kuna viatu nimeviona pale for you 2 mlimani city.. Yaani mpaka jamaa anaghairi. Basi bibie tutawasiliana nna namba yako ntakupigia. Style Up bana! Sisi sio migodi bana! Hata kama nmevutiwa kweli nae.. Nikiangalia hiyo list ya matatizo moyo unapotelea juu kwa juu!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
ngoja waje,wanapenda sana vya bure afu wakitaka kuliwa na wao wanalalamika...japo sio wote...
 
sawa.........ila na nyie muache kukaa kibuzibuzi.........
 
hapana bana wacha lalamika wacha waendelee hivyo hivyo maana sasa ni rahisi sana kupata k...huyo ukimtoa hele ya kodi nakwambia mbo utakuwa wamla kiulaini na tigo utapata...achana na pesa kija. hawa wanawake siku hizi mbona mdebwedo tafuta pesa tuu
 
ulitaka kidogo akuvutie gap halaf baadae ndo akupe bill zake,biashara asubuhi bwa mdogo,tena wakati anakuelezea shida zake na mimacho anakulegezea,mzee kama huna moyo unalainika na mzigo unatoa,chezea totoz za mjini weyeee
 
Fanya ufanyavyo naomba unisadie laki moja nina shida!....duh huyu sintamsahau.
 
  • Thanks
Reactions: SMU
sasa kupunguza njaa si ndo huko?
wanakuomba wewe 'ulietangaza umependa'?

ha ha haa lol

Kweli The Boss hapa ni sawa na ALIEUZA CHENI BANDIA KAPEWA FEDHA BANDIA hivyo ngoma droo, kama mwanaume ulikuwa na haraka ya kumtokea badala ya kutumia day one kama sehemu ya kumjenga akuamini basi na yeye siku ya kwanza anakupiga mzinga. Si unajua ukimtokea mrembo day one tu humjui hakujui nae huwa wanamwona mwanamume kicheche ila kama jamaa angezugazuga japo siku mbili tatu ndio atie neno nadhani asingepambana na huu msala
 
Last edited by a moderator:
dah hii kweli, unamtongoza anatiki halafu fwasta bila kuchelewa anaanza, ooh mara simu yangu mbovu, ooh simu yangu illingia maji, nina laini tu niliibiwa simu, Hapo manake kidume unatakiwa uelewe ununue simu kwa bidada!

au ooh hizi nywele zishaanza kuniwasha, halafu saluni ndio vile tena elfu30, lakini kwa sasa sina, itabidi nisuke mabutu tu, Hapo kidume inabidi ujipge utoe hela ya saluni!

Tatizo sio kumnunulia simu , au tatizo si kutoa hela ya saluni! Tatizo ni fwasta demu kuanza kutaka kuitumia ATM yake kabla hata ya kupewa kadi!
 
Nini huna hela?? Nyoo mwanaume gani ww?? Mwanaume suruali akaa babu nitue kama suruali 2 hata mimi navaa sana. Hebu nitue.. MNA MAANA NYIE??

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

sidhani mwanamke mstaarabu anaweza kukujibu hivyo...pole kwa kujibishwa hivyo mkuu!! unalo
 
Unanikumbusha miezi 3 nyuma nilipata malaya aliyekuwa anatafuta m'me humu jf nilimtumia nauli kutoka kuja kwangu na alipofika alikataa kutoa k eti tuchunguzane next alitoa siku aliyoondoka ajadai pesa nyingi ikiwamo kodi ya house nikampotezea then akaja na gia ingine amefiwa anataka nauli nikampotezea mpaka akajua mm ni gamba gumu akala kona
 
sidhani mwanamke mstaarabu anaweza kukujibu hivyo...pole kwa kujibishwa hivyo mkuu!! unalo

Lazima utakuwa mkoani ww?? Kama si Lindi basi Mtwara uko hata jero siku inapita. Wanawake wa mjini Sinza K'nyama Makumbusho Mbezi Kinondoni ndo majibu yao afu tushayazoea. Afu FULLY kuwapotezea. UNALO wewe uko MKOANI

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hehehe. Ninako ka gold digger kamoja ni hatari sana! Mtoto cute kapitiliza. Nyumbani kwao fresh sana. Actually katoka kununuliwa gari ya maana tu a few days ago. Ili cost kama 18 mil hivi.
Mimi kuangalia back ground ya mtoto nikajua hapa panaweza kuwa patulivu!!
Aisee how wrong I was! Hadi siamini!!
Vimzinga vya chini ya laki every after 2 days ni kawaida. Ila nilipigwa wa milion 7 nilicheka hadi machozi.

Nikamwambia kua mizinga yake inanipunguza sana mapenzi kwake becuase siamini hata hela ya vocha hana. Haijasaidia. The most confusing thing is, nimesitisha kumpa ila bado tunachat, hajasema ananiacha japokua uwezo huo anao sana!
Mimi sijamwambia na mwacha coz she is a gud accessory ukienda nae out! LOL.
 
Lazima utakuwa mkoani ww?? Kama si Lindi basi Mtwara uko hata jero siku inapita. Wanawake wa mjini Sinza K'nyama Makumbusho Mbezi Kinondoni ndo majibu yao afu tushayazoea. Afu FULLY kuwapotezea. UNALO wewe uko MKOANI

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

ha ha,nipo Mang'ola..inaelekea umepigwa kibomu cha mana, poyeee sana!! umeingia mjini lini aisee? na mbona unalalamika hivyo? ulihonga 1bn? UNALO wewe ulieko MJINI, utachunwa mpaka mokasi:))

sent from my RedBerry 3900 using LindiForums
 
Hiyo ndio test ya kujua kama what type of man you're, ukiwa mwanaume suruali utasepa. Mwanamke si mjinga eti
 
Back
Top Bottom