Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 9,791
- 15,080
Hello wana JF
Anahitajika dada ambaye ana uwezo wa kutumia vizuri Computer yaani Basic Computer Applications(MS OFFiCE) especially MS WORD,EXCEL, AND OUTLOOK vilevile awe ana uwezo wa kuongea kiingereza kwa ufasaha.
Awe nadhifu, mchangamfu. Age (22-25)
Kazi yake itakuwa ni kusimamia na kufanya kazi zote za kiofisi.
Ofisi hii inashughulika na mambo ya Tour and Safaris pamoja na mambo ya diving. Ofisi ipo Zanzibar maeneo ya Forodhani karibu na NBC Bank.
Kama unahitaji au una ndugu jamaa au rafiki mwenye sifa nilizozitaja hapo, nitumie PM ili nikupe info zaidi.
Shukrani