Dada si ndio atalala kabisa

Jonogomero

Member
Feb 8, 2012
99
27
Kitu John alishangaa sana alipoona dada yake anakojoa akiwa kachuchumaa, si unajua yeye alizoea kuchuchumaa wakati wa haja kubwaaa! Faster kamfuata mama yake aliyekuwa sebuleni na wageni na kumpa habari et "we mama check dada Linda eti kukojoa tu anachuchumaa je ingekuwa kunya si ndio angelala kabisa. Qwi qwi qwi
 
Dogooooooooooooooooooo......janjaaaaaaaaaaaaaaaa lime win kuonaa kikojoleo cha msista wake sasa ungemalizia hapo kidogo maza ake alisemajee?maana dogo lilijua kila anayechuchumaa anatanua kinyeo chake atoe kimba......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom