Dada Nakaaya: Kweli siasa ni mchezo mchafu

Huyu dada ilipoimba wimbo wa Mr Politician nilijua sauti za waimbaji wetu sasa ni chachu ya ukombozi, akapokea kadi ya CHADEMA, kama mwanachama, mara akaja akairudisha kwa JK akiwa Arusha ati mwana mpotevu amerudi nyumbani.....sasa amepotea kabisa na hasikiki tena, leo nimekutana na hii picha yake nikakumbuka yaliyopita....

http://2.bp.blogspot.com/-B-pYNDBoESU/T6RhW7Vpa_I/AAAAAAAAS7c/CrymtlzpLCE/s1600/IMG_0864.JPG

mara moja moja huwa namwona kwenye kabaa kake hapa tengeru. ila kafulia mpaka basi.
 
Kuna umuhim wa kuhifadhi picha za zamani zitakusaidia kupima mwili kama hujioni kwa kuambiwa au kwenye kioo maana hayo ni matatizo tunamuangalia baasi tu lakini hali si nzur..utapiamlo njenje
 
huo aliye mpa hiyo ngeu usoni ndo kamaliza kila kitu. sura imeharibika na uzee unamnyemelea. nasubili atoe wimbo mwingine nione hiyo ngeu ataifichaje.
 
Huyu dada ilipoimba wimbo wa Mr Politician nilijua sauti za waimbaji wetu sasa ni chachu ya ukombozi, akapokea kadi ya CHADEMA, kama mwanachama, mara akaja akairudisha kwa JK akiwa Arusha ati mwana mpotevu amerudi nyumbani.....sasa amepotea kabisa na hasikiki tena, leo nimekutana na hii picha yake nikakumbuka yaliyopita....

http://2.bp.blogspot.com/-B-pYNDBoESU/T6RhW7Vpa_I/AAAAAAAAS7c/CrymtlzpLCE/s1600/IMG_0864.JPG

alivitaka viti maalum naona kapishana navyo,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom