Daah nachomokaje hapa sielewi kabisa, msaada!

Wakuu kwema?

Nimevurugwa saana Sasa sielewi nafanyeje hapa.. Nina mahusiano na wanawake wawili wote Wanakaa mkoani Arusha, sasa mmoja nina muda nae kama Mwaka Sasa huyu mwingine ni mpya mpya.

Ni wazuri wote ila huyu mpya amemzidi mwenzake kwa staha, ana staha na ni mstaarabu zaidi na sio muongeaji sana.. na hapa Dar Nina mmoja wa kunipunguzia nyege kama nikizidiwa huyu Wa Dar nilishampa misingi yangu Hana noma kabisa.

Hyu wa kwanza kafunga chuo mwenzake ni mfanyakazi Sasa huyu mfanyakazi ambaye ni wa pili alipata Kazi Dar akaomba aje akae kwangu mpaka atakapokaa sawa nikakubali anakuja Jumatano ajiandae andae..

Jana ghafla Wa chuo ananipigia simu nipo Shekilango njoo nipokee nikashtuka saana
Nikamuambia mbona hujanipa taarifa akasema ameamua ku ni surprise daah

Nikamuuliza unakaa muda gani akaniambia week mbili mpaka Barua za field zikitoka waah.. ninavyowaambia Niko nae hapa ndani huyu Wa chuo.

Sielewi nafanyeje na huyu mwingine huwa tunapenda sana kuongea na simu usiku hapendi sana kuchati nikimtumia message mbili tatu anapiga, wadau hapa nafanyaje maana sielewi huyu namtoa vipi hapa?

Msaada tutani.
Akili ndogo uliyo nayo huchomoki. Una wanawake zaidi ya mmoja halafu wote unawaleta nyumbani au unaruhusu wafahamu unapokaa. Shwa*ni ,😃😃😃
 
Hivi inawezekanaje binti unatoka nyumbani unaenda kuishi nyumbani kwa kijana ambaye sio ndugu yako tena kwa siku nyingi hivyo..

Au wazazi wangu mimi sio wa nchi hii🤔🤔
  • Mabinti wa zama hizi ni VICHOMI! Hasa waliosoma au kukaa mijini. Kuna mmoja hivi karibuni kafia ghetto, ndg zake wakajulishwa wakachanga kwenda kubeba mwili. Nina visa kibao, nikiweza nitaanzisha mada.
  • Hata huyu anayeomba ushauri ni muhuni aliyepindukia. Yaani anapanga kabisa kukaa na binti wa watu kirahirahisi tu. Dah!
 
Hilo suala kwetu halijawahi kuwepo,. Hatakama ni wakiume hawaondoki tu nyumbani with no reasons.. Yaani lazima mawasiliano ya unakoenda yawepo
Nimekua nashuhudia wajomba zangu na kaka zangu wakubwa wanaishi nyumbani hadi walipooa na kupata makazi ndo wamesambaratika.. Sembuse binti atoke anaenda wapi kwanza
 
Huko vyuoni ndio maisha yao yalivyo, hata humu wapo waliowahi kuishi hivyo ila watakataa, kipindi cha likizo vyuoni wanachuo wengi hasa wanawake hutumia uo muda kuishi kinyumba na wanaume wawapendao na kudanganya wazazi kuwa wapo field mkoa fulani.
99% ya mabinti wa chuo wamepitia haya. Ni sehemu ya maisha na kujitambua kwao!
 
Huko vyuoni ndio maisha yao yalivyo, hata humu wapo waliowahi kuishi hivyo ila watakataa, kipindi cha likizo vyuoni wanachuo wengi hasa wanawake hutumia uo muda kuishi kinyumba na wanaume wawapendao na kudanganya wazazi kuwa wapo field mkoa fulani.
90+% ya mabinti wa chuo wamepitia haya. Ni sehemu ya maisha na kujitambua kwao!
 
Wakuu kwema?

Nimevurugwa saana Sasa sielewi nafanyeje hapa.. Nina mahusiano na wanawake wawili wote Wanakaa mkoani Arusha, sasa mmoja nina muda nae kama Mwaka Sasa huyu mwingine ni mpya mpya.

Ni wazuri wote ila huyu mpya amemzidi mwenzake kwa staha, ana staha na ni mstaarabu zaidi na sio muongeaji sana.. na hapa Dar Nina mmoja wa kunipunguzia nyege kama nikizidiwa huyu Wa Dar nilishampa misingi yangu Hana noma kabisa.

Hyu wa kwanza kafunga chuo mwenzake ni mfanyakazi Sasa huyu mfanyakazi ambaye ni wa pili alipata Kazi Dar akaomba aje akae kwangu mpaka atakapokaa sawa nikakubali anakuja Jumatano ajiandae andae..

Jana ghafla Wa chuo ananipigia simu nipo Shekilango njoo nipokee nikashtuka saana
Nikamuambia mbona hujanipa taarifa akasema ameamua ku ni surprise daah

Nikamuuliza unakaa muda gani akaniambia week mbili mpaka Barua za field zikitoka waah.. ninavyowaambia Niko nae hapa ndani huyu Wa chuo.

Sielewi nafanyeje na huyu mwingine huwa tunapenda sana kuongea na simu usiku hapendi sana kuchati nikimtumia message mbili tatu anapiga, wadau hapa nafanyaje maana sielewi huyu namtoa vipi hapa?

Msaada tutani.
Ambaye hajaja mwambie umepata safari
 
Nimewaza tu sijui umefikiria nini
28-30 hupaswi kua mazingira ya home, inatakiwa at least uwe umeshaanza harakati za kimaisha.....japo haya mambo nayo yanategemea Mila na familia husika...kwa Mila nlokulia mm mtoto wa kiume ukibalehe Kuna zle privilege kama mwanafamilia zinapunguzwa na Kwa wanaosoma wakienda chuo ndo exit strategy yao
 
Umalaya tu
 
Aisee!Mimi mwenyewe ndiyo nimekaa chini hapa nawaza nikushauri nini!Mola akutangulie na "macho-marefu" yako.Aaamiiin!
 
28-30 hupaswi kua mazingira ya home, inatakiwa at least uwe umeshaanza harakati za kimaisha.....japo haya mambo nayo yanategemea Mila na familia husika...kwa Mila nlokulia mm mtoto wa kiume ukibalehe Kuna zle privilege kama mwanafamilia zinapunguzwa na Kwa wanaosoma wakienda chuo ndo exit strategy yao
Kama huna kazi ya kueleweka kwetu huwezi kutoka, Hata kama umeoa na huna shughuli ya maana utaishi nyumbani wewe na huyo mke wako mpaka utakapoweza kujisimamia...
Na kwa wanawake ni hivyohivyo huendi popote isipokua kama umepangiwa kazi mbali na nyumbani.. Unless uwe umeolewa yaani unatoka nyumbani kwenda kuishi na mumeo sio kwenda kukaa alone

Na ndio maana kwetu watu wanapambana sana maana ukikaa kaa kizembe utajikuta wenzio wote wameondoka umebaki pekeyako na bibi nyumbani 😃😃😂
 
Back
Top Bottom