Daa kweli kupenda sana jamani ni hatari

Poleeee..kuumizwa ni sehemu ya cycle ya lovelife...imekuaje? can u share with us?
 
Yaani nimeumizwa sna na kesho nina pepa sijui itakuwaje jamani naomben tuwe na kiasi
Inauma kweli ila jaribu kufikiria long term zaidi. Chance ya kufanya hiyo paper ni kesho tu, na matokeo yake ni for a life time. CHances za kusolve kesi na mwenzio zipo nyingi, na matokeo ya kusolve/kutosolve hazina effect sana kwenye maisha in the long term, ingawa sasa hivi unaona kakuumiza sana. Basi, be strong and focus on your paper.
 
Mh pole dia! ndio mapenzi hayo! too much of ntin z toxic wapendwa kwel tuwe na kiasi! unaweza ukajikuta unayaaga mashindano iv iv kwa ajil ya kiji2 tena kisichojar uwepo wako hapa dunian. u ddnt meant to dia wangu. anza safar nyingine bs. yan ol in ol maisha lazima yaendelee so mpotezee.
 
Yaani nimeumizwa sna na kesho nina pepa sijui itakuwaje jamani naomben tuwe na kiasi

kama ulijipanga itakuwa poa, vinginevyo below mbaya inakuhusu...
pole kwa kutendwa, next time uache kuendeshwa na hisia...
 
Inauma kweli ila jaribu kufikiria long term zaidi. Chance ya kufanya hiyo paper ni kesho tu, na matokeo yake ni for a life time. CHances za kusolve kesi na mwenzio zipo nyingi, na matokeo ya kusolve/kutosolve hazina effect sana kwenye maisha in the long term, ingawa sasa hivi unaona kakuumiza sana. Basi, be strong and focus on your paper.

Woooord...Ni bora u-focus on your paper kwa kweli! Ni muhimu zaidi..
 
Chagua 1 acha paper u'solve tatizo, ama achana na mapenzi ucheze na prep! Gari la pertoli ni pertoli tu! Ukichanganya na diseal halitotembea!
 
Pole sana mkuu Sgaga,

Najua umeumia sana ila jaribu kujilazimisha usome au nenda ukadiskas na mwenzio, hayo ndio maisha yako kwa sasa ila huyo alokuumiza ni wa muda tu waweza kupata mwingine wa kukufaa. Jaribu kupotezea hayo machungu.
 
"GARI LA PETROL NI LAPETROL TU, HAUWEZI UKACHANGANYA NA DIESELI LIKATEMBEA" ime2lia hii.
 
Wenzio huwa hatuingii wazima wazima,so likitokea la kutokea,mtu unalchukulia poa 2 na maisha yanasonga ka kawa zake.
 
Chagua 1 acha paper u'solve tatizo, ama achana na mapenzi ucheze na prep! Gari la pertoli ni pertoli tu! Ukichanganya na diseal halitotembea!

Hii imetulia.....nendeni mkadanganyane ili ufanye paper vizuri.
 
wewe kama ni She ukimaliza pepa nipigie,mPM mama Tulli atakupa namba yangu.
 
Pole sn,
Angalia future yako,
Mapenz utayakuta huku mbele ya safari,
Naami ipo siku utashuru kwa tukio hili,
Potezea na weka akili kwenye masomo mazuri,
Mtaani GPA ya ukweli ndio dili sio mapenz.
 
Mnampa pole ila hajaeleza story yenyewe! Unaweza kukuta mwenyewe amechangia hadi kufikia kuumizwa, kwa hiyo hastahili pole!

Halafu by then, alitakiwa aseme ameumizwa na nn, anatakiwa awe specific, atueleze kama yeye ni Bint/ Mkaka.
Nitafurahi kama akija hapa na ku elaborate, ntampa bonge la ushauri
 
Back
Top Bottom