Cynthia Masasi kwenye video ya Ace Hood

Hapa unamuonea Steve, kwa vile hiyo term ilikuwa ni tata huna haki ya kuchagua definition unayoitaka kwamba ndio alivyomaanisha yeye. Yeye kashaeleza alichomaanisha full stop

Yeye ndio kachagua definition ya kutumia.

Na ndio hiyo hiyo namuuliza.

Kasema anaombea huyu msichana asiwe groupie = mshabiki. Why ?

What's wrong with kuwa mshabiki, kama humaanishi groupie = mwanamke mgawa umalaya kwa wasanii ?

Sasa anachomoa, anajua kaharibu. Moyoni anajutia alichokisema.
 
He is a friend of the close friend () and knows something we don't have to know.
 
He is a friend of the close friend () and knows something we don't have to know.

Sasa, Mama, kama ni mambo yao binafsi, ni kwa nini alijileta kwenye kadamnasi kutuambia kwamba anaombea msichana huyu asiwe groupie ?
 
Mama huo ni urafiki wa mbali sana...yaani ni friend of a friend frind duuh!...na kuwe na ukweli ndani yake?...what if i tell you i am a close friend and i don't approve that comment?..
 
Mama huo ni urafiki wa mbali sana...yaani ni friend of a friend frind duuh!...na kuwe na ukweli ndani yake?...what if i tell you i am a close friend and i don't approve that comment?..

Friend of a close friend ni urafiki wa mbali lakini kwa minajili ya information hapo ni mawasiliano ya karibu mno. Unajua friend of your close friend anakujua na zaidi ya wewe unavyomjua. Friend are not like food chains but they are like foodwebs biologically speaking.
 
Sasa, Mama, kama ni mambo yao binafsi, ni kwa nini alijileta kwenye kadamnasi kutuambia kwamba anaombea msichana huyu asiwe groupie ?

kwa sababu huyo bint ni celebrity ndio maana mambo yakaja kadamnasi, msimlaumu Steve hapa. Hajafanya kosa, alikuwa akidiscuss discussion isiyokuwa directed. He did dare talk openly. Tafadhali mumwache hataki malumbano zaidi.
 
Sasa, Mama, kama ni mambo yao binafsi, ni kwa nini alijileta kwenye kadamnasi kutuambia kwamba anaombea msichana huyu asiwe groupie ?

Kuhani eeeh.....taratibu basi mjomba....mbona umemkomalia koo hivyo? Jamaa keshakiri kiaina kuwa ame boogie....
 
Sure....utakuwa peke yako..?

I'll hit you up after I roll out of here...

No nitakuwa na some local and international friends kwani do you mind?...Meet us at VIP!..

Yeah holla at me and i will give you all the details....it's all about business wangu!..

One!
 
NN, na wengine naomba nisichangie chochote kuhusu huyu mdada kwenye hii thread. Maana duh nimepata shock ya hali ya juu kuna baba wa rafiki yangu humu tunabishana naye kila siku.

kuna video kadhaa huyu dada yuko
Grillz-Nelly
I know you see it-Yung Joc
Rodeo-Juvenile
nimeshasahau nyingine.
 
Sidhani kama ni mafanikio kuchojoa na kuonyesha maungo na kucheza cheza mbele ya kamera.
 
NN, na wengine naomba nisichangie chochote kuhusu huyu mdada kwenye hii thread. Maana duh nimepata shock ya hali ya juu kuna baba wa rafiki yangu humu tunabishana naye kila siku.

kuna video kadhaa huyu dada yuko
Grillz-Nelly
I know you see it-Yung Joc
Rodeo-Juvenile
nimeshasahau nyingine.

Wewe nae acha kamba bana...yaani kweli kuna mdingi wa mshikaji wako mnabishana naye kuhusu Cynthia? I find that hard to believe....
 
Back
Top Bottom