Cynthia Masasi kwenye video ya Ace Hood

hope she ain't just a groupie guest to that video...

Cynthia Masasi niliyemjua mimi ametulia, labda America iwe imembadilisha (hata hivyo sidhani)...ila alipokuwa Bongo alikuwa na tabia nzuri kabisa...yaani wife material.

Anajitahidi sana kujiinua, alipotoka ni mbali na amepiga hatua kubwa...nina uhakika tutamsikia sana kwa mema na mafanikio miaka ijayo. Mungu amtangulie.
 
YeboYebo, kwa kweli ningependa sana iwe hivyo and i do believe she maintains hiyo sifa nzuri. But again if she doesn't, who am i to question...

Kitu lilichonifanya niseme hivyo hapo juu ni hiyo few seconds appearance kwenye video akiwa anacheza na jibaba hilo lenye midevu. In a way inaonekana kama kalazimishwa tu vile (that is how i took it - to which i have to admit it could be a very wrong perception), believing that kwa dada kama yeye ambaye ameanza kuonekana kwenye video kwa miaka kadhaa sasa, kuonekana kwenye video ya "chipukia" kama hawa is somewhat mithili ya 'kung'oa windows vista au xp na kupachika windows me.' Ambapo nikesema hivyo itanirudisha kwenye second assumption kwamba, yawezekana hao kwenye video ni rafiki zake wa karibu sana, hivyo labda kwake yeye wamemwomba tu ajitokeze ili ai spice up vid na akaamua kuwapatia dakika chache tu za appearance yake.

Mkuu, in either case, rest assured kuwa huyu ni dada wa nyumbani kabisa na nathamini kazi zake na kupenda azidi kuendelea maishani mwake.

BTW, sorry kwa mfano wa kicomputer computer... :)
 
Aaaah we nawe sijui umeamka leo.....you are over analyzing this....it is just a music video....not some shady government deal
 
Nyani Ngabu i second you!...i think jamaa kaamka leo..yaani kwa kweli dude anasema Rick Ross ni jamaa chipukizi kwenye muziki plus Trey songz?..what is he talking about na yupo karne ya aina gani?..eti kachukua rafiki zake kuwa nao kwenye Video...dah dude aint talk about none....kazi kweli kweli....kweli siasa imemkaa than entertainment...dude need to balance his life for really yooh.
 
Nimeamka NN.

Nimeonelea vyema nichangie walau hizi thread unazoanzisha ili isiwe kasheshe kwenye mjumbe mwingine wa 2000.

Seriously, what's wrong with responding to a post, if i was to dip into this i would've done it on my first post to begin with. I did not. The forum is read by many, nami kama rafiki wa rafiki yake wa karibu kutaja neno 'groupie' kwa wengine laweza kuchukuliwa kama naanza kuwa hater fulani.. kumbe nilifanya hivyo kama mfano. Ndiyo maana Yebo yebo akaandika hayo juu. Nami promptly nikamjibu yale niliyomaanisha. Am i over analyzing your comment too?

Laters mkulu.
 
Nyani Ngabu i second you!...i think jamaa kaamka leo..yaani kwa kweli dude anasema Rick Ross ni jamaa chipukizi kwenye muziki plus Trey songz?..what is he talking about na yupo karne ya aina gani?..eti kachukua rafiki zake kuwa nao kwenye Video...dah dude aint talk about none....kazi kweli kweli....kweli siasa imemkaa than entertainment...dude need to balance his life for really yooh.

aaargggh, Chipukizi tu huyo wa ulinzi wa magereza bana!!
 
Yeah..chipukizi makes Akon, Ricky Ross, Busta, Dj Khaled etc.....make cameos in his remix video.....must be one hell of a chipukizi....
 
Nimeamka NN.

Nimeonelea vyema nichangie walau hizi thread unazoanzisha ili isiwe kasheshe kwenye mjumbe mwingine wa 2000.

Seriously, what's wrong with responding to a post, if i was to dip into this i would've done it on my first post to begin with. I did not. The forum is ready by many, nami kama rafiki wa rafiki yake wa karibu kutaja neno 'groupie' kwa wengine laweza kuchukuliwa kama naanza kuwa hater fulani.. kumbe nilifanya hivyo kama mfano. Ndiyo maana Yebo yebo akaandika hayo juu. Nami promptly nikamjibu yale niliyomaanisha. Am i over analyzing your comment too?

Laters mkulu.

You do you hommie....
 
You all need to stop name calling...weather she is a groupie/not a wifey material whatever it is...you need to leave Cynthia alone.Wanaume wazima mnakaa chini na kuanza judge maisha ya watu...jeeez dont you all don;t have better things to do?for really for reallly....you all make me sick to my stomack gaddamit!...

You do you!...and let Cynthia do cynthia for god sake..
 
Ndio ucelebrity huo, lazima ukubali haya yote mwaya. Cha umuhimu chagua mazuri ondoka nayo, mabaya yaache, fanya kazi kwa bidii, heshimu watu wote, mtangulize Mungu kwenye kila jambo utafanikiwa.

Kumbuka ukifanikiwa utasemwa na ukilost utasemwa pia, iwe kwa uzuri au ubaya. Get ready.
 
You all need to stop name calling...weather she is a groupie/not a wifey material whatever it is...you need to leave Cynthia alone.Wanaume wazima mnakaa chini na kuanza judge maisha ya watu...jeeez dont you all don;t have better things to do?for really for reallly....you all make me sick to my stomack gaddamit!...

You do you!...and let Cynthia do cynthia for god sake..

Nani kasema kuwa Cynthia ni groupie katika thread hii?
 
Ndio ucelebrity huo, lazima ukubali haya yote mwaya. Cha umuhimu chagua mazuri ondoka nayo, mabaya yaache, fanya kazi kwa bidii, heshimu watu wote, mtangulize Mungu kwenye kila jambo utafanikiwa.

Kumbuka ukifanikiwa utasemwa na ukilost utasemwa pia, iwe ka uzuri au ubaya. Get ready.

Mama, yaonekana mwenzetu ana threshold fupi ya ku-stomach criticism na commentary ziendanazo na entertainment. Tuko kwenye 'entertainment forum' ya JF lakini tusitoe comment kuhusiana na dada yetu ambaye yuko kwenye entertainment business. Bora basi hii forum ifyekwe panga iwapo mentioning someones name is a penal offense.
 
Back
Top Bottom