CV ya Waziri Kivuli Miundombinu Ujenzi na Uchukuzi Chadema

heri wenye elimu ndogo wakawatendea wananchi mema kuliko kuwa na elimu kubwa ukawaibia wananchi.
 
matatizo makuu ya tanzania ya maji safi, umeme na barabara hayahitaji degree kuweza kutatuliwa. ni political will tu.
 
hii ni ya Mbunge wangu...

[h=2]Member of Parliament CV[/h]
GENERAL
SalutationHonourableMember picture
1694.jpg
First Name: Livingstone
Middle Name: Joseph
Last Name:Lusinde
Member Type:Constituency Member
Constituent: Mtera
Political Party: CCM
Office Location: Box 50, Dodoma
Office Phone: +255 755 453327/+255 785 679927
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail: llusinde@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Date of Birth 4 March 1972
EDUCATION
School Name/Location Course/Degree/Award Start DateEnd DateLevel
Mbigili Primary SchoolPrimary Education19801987PRIMARY
CCM College IhemiCertificate20072008CERTIFICATE
EMPLOYMENT HISTORY
Company Name Position From DateTo Date
The Parliament of TanzaniaMember - Mtera Constituency20102015
POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/Location Position FromTo
Chama Cha Mapinduzi, CCMSecretary - Tarime District20062010
Chama Cha Mapinduzi, CCMAssistant Secretary/Accountant20062007
CHADEMAMember - National Executive Board1995
Civic United Front, CUFSecretary - Kawe Constituency19921995
Chama Cha Mapinduzi, CCMSecretary
 
Leadership needs wisdom than Education and Experiece, Solomon was the King Israel and he needed wisdom of God only. If this man is wise and Wanachi and his Party trusted him, what else do we need?? I think we need to encourage him and support him to fullfill his duties.
 
Kama CV ingekuwa kigezo cha uelewa nategemea wabunge wengi CCM waliopo ndani ya Bunge letu la Tz maisha ya watanzania yangekuwa mazuri kuliko hapa tulipo, Ebu nitaje wachache mh,Wassira,yeye CV yake Usingizi, Mh, L.Lusinde, yeye Mtusi,Mh,M.Mchemba yeye Ugoni na wake za watu, kpt, J.Komba yeye kuimba na akina Lulu,Anne Kilango yeye kuwaongopea wapiga kura wa Same wakati yupo kwa Mgogo wake Dom, Mh, Ngereja yeye ameshindwa wizara ya Madini hatimaye kutuibia hiyo ndiyo Cv yake hawa wachache wanaharibu sifa ya wabunge wachache waliopo ndani ya CCM kama Filikunjombe, Sherukindo aliyewakosoa wabunge wenzake kwamba wawaache wabunge wenzao wa upinzani wawakosoe kusudi wafanye kazi vizuri.mbunge aliyeona mbali akiwa ndani ya CCm sio wabunge kugonga meza tu. kwahiyo huyu mzee kuwa na elimu ndogo haimzuii kufanya kazi kwa uadilifu mkubwa. Mujwahuzia
 
Nilijua tu atakuwa kaandika hii thread ni yule yule mwenye kichwa cha maiti.
 
Hebu weka ya William Lukuvi, then uone vyuo alivyosoma alafu uende TCU au hata ujaribu ku-google list ya vyuo vinavyotambuliwa duniani(you will never see it in the list). Viongozi wengi wa CCM wana elimu za magumashi na ndio maana utendaji wao unazidi kulipoteza taifa letu.

Ni bora Arfi ambaye katoa ukweli wa elimu yake halisi kuliko hao wengine ambao wametoa elimu ambazo kimsingi hawana. Na hawa ndio wanaochangia "UDHAIFU WA PRESIDAA"
 
Wacha upofu wewe wapo wachumi daraja la kwanza wa BOT lakina wakaishia kuwa vinara katika kufanikisha wizi wa EPA. Usomi wa wana CCM ni wa kuwawezesha kuifukarisha nchi yetu tu na elimu zao za makaratasi hazina tija kwa nchi hii hata kidogo.
 
After four years, Galileo had announced to his father that he wanted to be a monk. This was not exactly what father had in mind, so Galileo was hastily withdrawn from the monastery. In 1581, at the age of 17, he entered the University of Pisa to study medicine, as his father wished.
[h=3]Galileo Galilei - Law of the Pendulum[/h]At age twenty, Galileo noticed a lamp swinging overhead while he was in a cathedral. Curious to find out how long it took the lamp to swing back and forth, he used his pulse to time large and small swings. Galileo discovered something that no one else had ever realized: the period of each swing was exactly the same. The law of the pendulum, which would eventually be used to regulate clocks, made Galileo Galilei instantly famous. Except for mathematics, Galileo Galilei was bored with university. Galileo's family was informed that their son was in danger of flunking out. A compromise was worked out, where Galileo would be tutored full-time in mathematics by the mathematician of the Tuscan court. Galileo's father was hardly overjoyed about this turn of events, since a mathematician's earning power was roughly around that of a musician, but it seemed that this might yet allow Galileo to successfully complete his college education. However, Galileo soon left the University of Pisa without a degree.

[h=3]Galileo Galilei - Mathematics[/h]To earn a living, Galileo Galilei started tutoring students in mathematics. He did some experimenting with floating objects, developing a balance that could tell him that a piece of, say, gold was 19.3 times heavier than the same volume of water. He also started campaigning for his life's ambition: a position on the mathematics faculty at a major university. Although Galileo was clearly brilliant, he had offended many people in the field, who would choose other candidates for vacancies.

Angalia hapo palipokolezwa ndo mseme Arfi anafaa au hafai
 
[h=2]Uongozi ni Hekima sio Elimu, viongozi wenye elimu ya msingi pekee tunao wengi, hata katika chama tawala. Mfano ni huyu hapa.

Member of Parliament CV[/h]
GENERAL
SalutationHonourableMember picture
1580.jpg
First Name: Mary
Middle Name: Pius
Last Name:Chatanda
Member Type:Special Seat
Constituent: No Constituency
Political Party: CCM
Office Location: Box 140, Korogwe - Tanga
Office Phone: +255 784 784692/+255 754 315945
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail: mchatanda@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Date of Birth 5 September 1959
EDUCATION
School Name/Location Course/Degree/Award Start DateEnd DateLevel
Gangilonga Primary SchoolPrimary Education19651971PRIMARY
Tabora Secretarial CollegeManagement Course1973CERTIFICATE
EMPLOYMENT HISTORY
Company Name Position From DateTo Date
The Parliament of TanzaniaMember - Special Seat20102015
General Secretary OfficeDistrict Youth Secretary19961998
CCM Youth UnionRegional Youth Secretary19811995
General Secretary OfficeDistrict Youth Secretary19741980
POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/Location Position FromTo
Chama Cha Mapinduzi, CCMMember - National General Council19992010
Chama Cha Mapinduzi, CCMMember - National General Board(UWT)19982012
Chama Cha Mapinduzi, CCMCoucillor19952000
Chama Cha Mapinduzi, CCMMember - National General Board (UVCCM)19811995
 
Member of Parliament CV

GENERAL
SalutationHonourableMember picture
1429.jpg
First Name: Said
Middle Name:Amour
Last Name:Arfi
Member Type:Constituency Member
Constituent:Mpanda Mjini
Political Party:CHADEMA
Office Location:P.O.Box 77, Mpanda
Office Phone: +255 786 001122/+255 767 001122
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail: safri@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Date of Birth 9 February 1952
EDUCATION
School Name/Location Course/Degree/Award Start DateEnd DateLevel
Mpanda Day Middle SchoolPrimary Education19621966PRIMARY
N.A. Inyonga Primary School, MpandaPrimary Education19581962PRIMARY
Railway Training School, NairobiShort Course19721972CERTIFICATE




JF Daima:A S-coffee:
Na CHADEMA nao wameanza kuwa vilaza,CV mbovu kama hii watampaje uwaziri kivuli
 
John Mnyika Elimu yake ni utata mtupu ukienda kwenye tovuti ya bunge kaifuta CV yake watu wasione ni udhaifu mkubwa sana.

He, makubwa!!
Yaani Mhe. mnyika anaouwezo huo wa kuingia na kufuta taarifa zilizomo katika wavuti ya Bunge!!!????
Kama ndivyo, basi balaa. Lakini kitaaluma ya IT, si rahisi hivyo mtu kama yeye kuwa na access hiyo.
Wapo watu maalum walioajiriwa kwa kazi ya kuingiza na kuondoa au kurekebisha taarifa zilizomo katika wavuti ya Bunge.
 
GENERAL
SalutationHonourableMember picture
1694.jpg
First Name: Livingstone
Middle Name: Joseph
Last Name:Lusinde
Member Type:Constituency Member
Constituent: Mtera
Political Party: CCM
Office Location: Box 50, Dodoma
Office Phone: +255 755 453327/+255 785 679927
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail: llusinde@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Date of Birth 4 March 1972
EDUCATION
School Name/Location Course/Degree/Award Start DateEnd DateLevel
Mbigili Primary SchoolPrimary Education19801987PRIMARY
CCM College IhemiCertificate20072008CERTIFICATE
EMPLOYMENT HISTORY
Company Name Position From DateTo Date
The Parliament of TanzaniaMember - Mtera Constituency20102015
POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/Location Position FromTo
Chama Cha Mapinduzi, CCMSecretary - Tarime District20062010
Chama Cha Mapinduzi, CCMAssistant Secretary/Accountant20062007
CHADEMAMember - National Executive Board1995
Civic United Front, CUFSecretary - Kawe Constituency19921995
Chama Cha Mapinduzi, CCMSecretary
 
Hizi habari wenzenu waloendelea walishaacha ni baada ya bill gate kuwaprove wrong. Shule ni kuelimika siyo cheti. Wengine wamejazana bungeni na PhD lakini akili zimeshuka mpaka darasa la pili wanashangilia ujinga mtupu. Badilikeni CV CV, hamjui uwezo wa kila kitu ni wa kuzaliwa? mko nyuma sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom