CV ya Waziri Kivuli Miundombinu Ujenzi na Uchukuzi Chadema

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
46,892
32,308
[h=2]Member of Parliament CV[/h]
GENERAL
SalutationHonourableMember picture
1429.jpg
First Name: Said
Middle Name: Amour
Last Name:Arfi
Member Type:Constituency Member
Constituent: Mpanda Mjini
Political Party: CHADEMA
Office Location: P.O.Box 77, Mpanda
Office Phone: +255 786 001122/+255 767 001122
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail: safri@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Date of Birth 9 February 1952
EDUCATION
School Name/Location Course/Degree/Award Start DateEnd DateLevel
Mpanda Day Middle SchoolPrimary Education19621966PRIMARY
N.A. Inyonga Primary School, MpandaPrimary Education19581962PRIMARY
Railway Training School, NairobiShort Course19721972CERTIFICATE




JF Daima:A S-coffee:
 
kusoma ni kuelimika wala si kuelewa mambo. Kinachotakiwa ni kuelewa ili utende vyema katika utendaji wako. Huyu mbunge wa chadema anatosha sana kwani anauelewa mkubwa katika maisha. Kama wasomi wa ccm wanasupport bajeti ya kipuzi lakini huyu mbunge anapinga kwani anaouelewa mpana.
 
Member of Parliament CV

GENERAL
SalutationHonourableMember picture
1429.jpg
First Name: Said
Middle Name:Amour
Last Name:Arfi
Member Type:Constituency Member
Constituent:Mpanda Mjini
Political Party:CHADEMA
Office Location:P.O.Box 77, Mpanda
Office Phone: +255 786 001122/+255 767 001122
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail: safri@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Date of Birth 9 February 1952
EDUCATION
School Name/Location Course/Degree/Award Start DateEnd DateLevel
Mpanda Day Middle SchoolPrimary Education19621966PRIMARY
N.A. Inyonga Primary School, MpandaPrimary Education19581962PRIMARY
Railway Training School, NairobiShort Course19721972CERTIFICATE




JF Daima:A S-coffee:

nchi zote dunia ni zenye mafanikio makubwa zimewekeza ktk railway systems,ni vyem tukiwa na watu wenye uwelewa mkubwa ktk mambo ya railway system maana ndio usafiri pekee ulio wa uhakika na uchache wa ajari,huku tulipo watu wengi wanatumia usafiri wa reli ingawaje mabasi yapo lakini si kwa safari ndefu.so mtu kama huyo mazingira tulipo ndio wanaowatumia kwani yupo ktk fani ambayo amesomea kuliko kumweka mtu ilimradi awepo.ingawaje namkubari sana Dr Mwakyembe kwani ni mwepesi na msimamizi mzuri wa mambo kwa hiyo akiwa na watu wajuzi kama hao mambo yatakwenda
 
Wanaomuita JK dhaifu wanamatatizo ya afya ya akili na wanahitaji tiba Psychotherapy kwa miezi tisa,tatizo hili huchangiwa pia na njaa
 
tatizo lenu mnafikiri elimu cheti, wakati mnatafuta vyeti muwe wezi tu, wote waliotoa wanataaluma wenye vyeti vya mwanzo duniani hawakuwa ne vyeti hivyo walikuwa watu wenye akili za kuzaliwa, wagunduzi, wachambuzi, na wanajimu mahiri, n
 
CV ya mwenyekiti wao Mbowe Na katibu wao Mchungaji Slaa ndo vichekesho, bora ya huyo mbunge ana utaalam wa Rail ambay nimuhimu sana kwa nchi yetu
 
sasa unsemaje mbona hueleweki ,we jamaa hunaga cha kufanya,mbona nyie magamba dhaifu sana
 
ni bora kuwa na akili ndogo ukawa na uelewa mpana kutafakari mambo kuliko kuwa na udr/masters/phd.DHAIFU
 
John Mnyika Elimu yake ni utata mtupu ukienda kwenye tovuti ya bunge kaifuta CV yake watu wasione ni udhaifu mkubwa sana.
 
so what?huyo dr wenu aliyetetemeka huko nje,we dont gv a **** about paper and such staff we want people who can think critically and bring a change,did your grandpa build local roads with a degree?
 
chenge, balali, ,,, tuliskia wana elimu kubwa tena za ulaya wakaishia kutuibia mabilioni. uzalendo, uwajibikaji, busara na hekima havihitaji kuwa na vyeti vinvojaza sanduku. elewa toka leo ewe usiyejua.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom