Cv ya Nape Nauye

DOMA

JF-Expert Member
Mar 17, 2011
944
365
Wakuu yeyote mwenye cv ya Nape atupie hapa au yeye mwenyewe aweke hapa maana nina wasiwasi na uwezo wake wa kufikili kutokana na kauli anazotoa
 
Ya nini? tuwekee cv yako kwanza tuone kama unaweza kuzisoma hizo cv za watu.
 
"ccm haijakataa kujadili muungano, huo ni uongo wa mchana kweupeee... ilaaa tumesemaaa muungano usiongelewe uwepo au kutokuwepo kwake..." (Nape: Makambaku 7 June,2012) naunga mkono mwenye cv ya Nape aitoe hapa jamvini.
 
Nape si alisoma Azania sekondari afu akaenda kusoma Magogoni , sidhani kama relay neurones zake za kichwani zina function effectively his head needs to be examined kiukweli kabsaaa
 
Mkuu Ptz hii ni kali sana nisingekuwa natumia simu ningekugongea like za kutosha
"ccm haijakataa kujadili
muungano, huo ni uongo
wa mchana kweupeee...
ilaaa tumesemaaa
muungano usiongelewe
uwepo au kutokuwepo
kwake..." (Nape:
Makambaku 7 June,2012)
 
Mkuu Ptz hii ni kali sana nisingekuwa natumia simu ningekugongea like za kutosha
"ccm haijakataa kujadili
muungano, huo ni uongo
wa mchana kweupeee...
ilaaa tumesemaaa
muungano usiongelewe
uwepo au kutokuwepo
kwake..." (Nape:
Makambaku 7 June,2012)

Kweli mkuu ngoja nimtafute Invisible watufanyie mpango wa like button kwenye mobile version ya jf
 
"ccm haijakataa kujadili muungano, huo ni uongo wa mchana kweupeee...ilaaa tumesemaaa muungano usiongelewe uwepo au kutokuwepo kwake..." (Nape:Makambaku 7 June,2012)



Sasa haya kaongea mkuu wa itikadi ya CCM, hivi CCM inategemea nini haswa kunako 2015? Wamemweka mtu asiye na maadili kichwani katika idara nyeti. Kutokana na akili zake Nnape nafikiri hiki cheo ni kikubwa shinda upeo wa akili zake. Tutafakari kidogo; mtu kama huyu aje kuwa waziri wa ulinzi hapa Tanzania tutakuwa wapi? Si atakuwa anatafuta vita na majirani kila kukicha, maana sidhani kama anakumbuka anachokiongea leo au kesho.
 
Ya nini? tuwekee cv yako kwanza tuone kama unaweza kuzisoma hizo cv za watu.


Nnape wacha hasira kijana. Mwenzako kauliza hivyo kwani yeye pamoja nasi (asilimia 99.9 ya watanzania) hatuna imani na elimu yako. Jaribu kufikiri kidogo usiwe na jazba kwani haya yote umejitakia mwenyewe kutokana na uvuvuzela wako wa kupiga kelele bila kufikiri.
 
Sasa ana maana gani? Kujadili....ndo kutaleta hitimisho (conclusion) kama iwepo au la. Na suala la kuwepo au la lazima litokana na mjadala na watu pande zote wapime merits (previous, current and potential) then (watu na wala si ccm) watoe hitimisho.
"ccm haijakataa kujadili muungano, huo ni uongo wa mchana kweupeee... ilaaa tumesemaaa muungano usiongelewe uwepo au kutokuwepo kwake..." (Nape: Makambaku 7 June,2012) naunga mkono mwenye cv ya Nape aitoe hapa jamvini.
 
huyo jamaa ni kichwa cha panzi sana...nafikiri cream anazotumia zimeathiri ubongo wake..
 
nimesoma comment zako nyingi always huwa peke yako, wenzako wanakwenda kulia wewe huwa una kwenda shoto iwe kwa zuri au baya, u must have a problem!

Ya nini? tuwekee cv yako kwanza tuone kama unaweza kuzisoma hizo cv za watu.
 
May be they needed a nitwit with such neurons to carry out a job that no sane person could
Who knows,,,,
 
Ki ukweli kama unataka kumjua mwanzako lazima ujitambulishe wee kwanza.nina hofu na uwezo wa ubongo wako wewe mwenye mada na ndio maana hata mimi nahitaji cv yako kwanza ili nikupe ya Nnape.
 
Mijitu inayokimbilia CV naitamani ni ilambe embu leta hoja siyo mi cv.Watu hawajaenda shule lakini wanaongoza fresh kabisa wewe wa wapi bwana alaa ebooo
 
Haya bana basi tuseme amesoma sana ni Prof wa CCM ili Mzinga na mwenzio msiki raha.Wacha kipofu amuongeze kipofu mwenzie
 
Back
Top Bottom