CV ya Abas Z Mtevu

Mwiyuzi

JF-Expert Member
Jun 30, 2011
846
432
Hii ndo CV ya mbunge anayewakilisha wananchi wa Temeke.

Mimi sijawahi kuona hata siku moja either akiuliza swali au kuchangia lolote bungeni, nahisi yuko pale bungeni ili kutoa sauti ya NDIYOOO.
 
Attachments

  • Mtemvu.docx
    48.6 KB · Views: 342
mhh anachangia mbona?
alichangia na kukataa kuunga mguu hotuba ya tibaijuka cz aliwadisi kurasin....alichangia tena nimesahau hoja

ahh mi ananiboa cz amalizii barabara ya yombo,kitunda....
 
mhh anachangia mbona?
alichangia na kukataa kuunga mguu hotuba ya Tibaijuka cz aliwadisi Kurasin....alichangia tena nimesahau hoja

ahh mi ananiboa cz amalizii barabara ya yombo,kitunda....

lol hapo kwenye red , siku aliyochangia sikumuona....
 
Hii ndo CV ya mbunge anayewakilisha wananchi wa Temeke.

Mimi sijawahi kuona hata siku moja either akiuliza swali au kuchangia lolote bungeni, nahisi yuko pale bungeni ili kutoa sauti ya NDIYOOO.

weka ya kwako kwanza nayo tuione.bila shaka we n mtoto wa kiume ila napata wasiwasi na hii tabia yko ya umbea na upekenyuku.chunga mjini hapa kaka.
Ucvimbe..haya nnayokueleza yafanyie kaz.
 
Mimi huwa sina tatizo na CV ya mtu kwani wenye CV kubwa/nzuri ndo wametufikisha hapa tulipo, Hao hao wenye CV KUBWA NDO WEZI, MAFISADI, MAFUSKA na sifa nyingine zote chafu.
 
Huyu ni mwanasiasa ambaye amechaguliwa na wananchi wake ambao pengine wanafahamu uwezo wake kuliko mimi na wewe.
Pengine nikuulize kwani mwanasiasa anatakiwa awe na cv ya aina gani????
Kama suala ni degree wanasiasa wangapi ambao ni wasomi lakini wanaboronga???
Nini maana ya DEMOCRACY??? neno hili asili yake ni ugiriki ya 400bc aina ya utawala uliokuwa ukitumika
DEMO means 'people' and CRACY [kratos] means 'power' kwa lugha nyepesi maana yake ni power to the people hivyo basi wananchi kama wanaona mtu fulani anafaa kuwawakilisha [hata kama wengi hatumpendi] lakini wengi wakitaka huwa
hivyo suala la cv kwa mbunge yeyote yule ni juu ya wale wanaomchagua na wanaochagua siku zote wako sahihi kwani wakiona hawafai wanamtosa
 
Acha kukariri madesa yako ya Open university hapa. Wabunge wangapi wanachaguliwa by consents/wills of the people?
Unafananisha Demockrasia ya UGIRIKI ambayo ilikua ni election by LORTS? You must be crazy.
Haya kamuuliza alitumia bei gani kununua kura za wananchi ili ujue CV ina nafasi yake kuchaguliwa na kutimiza wajibu wako km mbunge.
Majimarefu wote tunamjua kama hakusoma,je uwezo wake unalingana na Zitto mwenye masters. Ukiambiwa akasaini mkataba leo JAH PEOPLE utamwamini?

Sio kila mtu lazima ajue kama akili zako zipo tumboni,km huna hoja kaa kimya tu.
 
weka ya kwako kwanza nayo tuione.bila shaka we n mtoto wa kiume ila napata wasiwasi na hii tabia yko ya umbea na upekenyuku.chunga mjini hapa kaka.
Ucvimbe..haya nnayokueleza yafanyie kaz.

Nimeweka ya kwake kwavile ni public figure, mbona umekasika kiasi hiki...kwani nmemtusi? ninatilia shaka uwezo wako wa kufkiri!

Nikipi kibaya kwenye thread yangu? kuna tusi lolote kwa Abas katika maandishi yangu?

...wewe ndo Abas mwenyewe, ni mkewe au ni mtoto wake?

Na hata kama wewe ni Abas mwenyewe...si useme namna unavyowawakilisha wananchi wako, nimesema kuwa sijawah kuona ukichangia...unaweza kunikosoa kuliko kutoa vitisho tu kama ulivyofanya kwenye red
 
Usiwe na jazba ndugu yangu hili ni jamvi la wastaarabu sijui umeingia lini. hata hivyo mimi elimu yangu ni darasa la 4
lakini katika society ya kistaarabu kila mtu ana haki na kuwa na maoni yake na kuyatoa hadharani cha msingi ungejibu hoja. jee wabunge ili wawe rep wazuri wanatakiwa wawe ni watu wa aina gani? kuwa na jazba au kuandika maneno yasiyofaa ni shara ya imaturity. A matured person can absorb much much more na ndiyo maana kuna wakati tunawakashifu,tunawasema vibaya na ukweli kuna wakati tunawaonea tuu lakini wao wana absorb yote hayo.
 
Kwa mwanasiasa kama alivyo Mtemvu, sifa ni kujua kusoma na kuandika. In fact hana tofauti sana na wananchi walio wengi kielimu. Pili, wakati mwingine CV huwa haitranslate kwenye utendaji mzuri.
 
Member of Parliament CV
GENERAL
Salutation
Honourable
Member picture
C:%5CUsers%5CUSER%5CAppData%5CLocal%5CTemp%5Cmsohtmlclip1%5C01%5Cclip_image002.jpg

First Name:
Abas
Middle Name:
Zuberi M
Last Name:
Mtemvu
Member Type:
Constituency Member
Constituent:
Temeke
Political Party:
CCM
Office Location:
P.O.Box 60151, Dar es Salaam
Office Phone:
+255 22 2627704/+255 754 293140
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail:
amtemvu@parliament.go.tz
Member Status:
Current Member
Date of Birth
1 November 1959

EDUCATION
School Name/Location
Course/Degree/Award
Start Date
End Date
Level
Kibasila Primary School
Primary Education
-
-
PRIMARY
Kibohehe Secondary School
Secondary Education
-
-
SECONDARY
University of Dar Es Salaam
Computer Course
2002
2002
CERTIFICATE
City College Manchester, United Kingdom
-
2004
2004
CERTIFICATE

EMPLOYMENT HISTORY
Company Name
Position
From Date
To Date
The Parliament of Tanzania
Member - Temeke Constituency
2005
2015
 
weka ya kwako kwanza nayo tuione.bila shaka we n mtoto wa kiume ila napata wasiwasi na hii tabia yko ya umbea na upekenyuku.chunga mjini hapa kaka.
Ucvimbe..haya nnayokueleza yafanyie kaz.

Usitishie watu hapa na akili yako ya kifisadi,CV nyingi zimeishawekwa hapa na watu wanajadili.
 
Back
Top Bottom