Customer care zetu hapa Tz ndivyo zilivyo

Yeye ana shida gani wakati wakati tarehe 60 ana chake no matter campuni imeingiza ama haijaingiza
 
Nadhani wenzetu wakenya ndo wanaweza kufanya hii mambo kwani wanajua sana haki zao

Real mkubwa, niko Mwanza nafanya biashara za Nairobi, Kampala, kiukweli wakenya wanajua maana ya kazi yao, wabongo wengi kwenye hii kazi ni wale wa kamlete so anakuwa kazini kwa nguvu ya uchi, unategemea hiyo huduma bora utaipata hapo?!
 
attachment.php



View attachment 45026
Hii ndo hali halisi imenikuta leo nilipoingia chuo kimoja hapa Dar






ayo ndiyo maisha ya kibongo usishangae mkubwa.
 
Back
Top Bottom