Customer care zetu hapa Tz ndivyo zilivyo

Shine

JF-Expert Member
Feb 5, 2011
11,481
1,364
attachment.php



307735_236456579744979_100001419162673_657194_512116639_n.jpg
Hii ndo hali halisi imenikuta leo nilipoingia chuo kimoja hapa Dar
 
ndo hvyo customer care ni zero kabisa, utadhani hyo huduma unaipata bure wakati unailipia.
 
wana katabia kakujisikia wakati utakuta kazi yenyewe kaipata kwa kuvuliwa ch*pi
 
Customer care ya hivi, Mtambuzi hataki kuhudumiwa. Wakibaki watu 2 mbele yake anarudi nyumba watu 10, ilimradi view iruhusu
 
matatizo ya kazi za vimemo hayo. "mwangalie huyu ni mtoto wa dada"
 
Halafu utasikia mtu anakuambia Tz itakuja kuendelea
 
Kitaje tu hcho chuo ndo wajifunze.wabongo tuache kuoneana haya kwenye mambo ya msingi
 
mimi hua siwakwepeshi nawapa hapo hapo..! pumbavu kwakweli hua sina mda wa kumkwepesha mtu..! hua mimi ni mtu mzuri sana na considerate ila kwa mambo ya mtindo huu kwakweli ni hapo hapo tu..!
 
Yalinikuta ya hivyo nlipoingia katika moja ya ofisi za vodacom pale jengo ppf siku moja nikiwa mwanza! mmoja wao alipigiwa simu na mtu halafu akaamua kuizungusha ofisi nzima:
"chukua simu uongee na nanii!! akapewa simu yule dada kabla hata hajanisikiliza, akaanza, sijui fulani huyu(sikumbuki jina lililotajwa), eh mambo vipi? eeh kumbe umehamia dar?! utakuwa umependeza mwenyewe!!? wakapigiana simu, wakaongea waliyoongea huku mimi macho yamanitoka, walipomaliza ndo nikaambiwa, karibu kaka...

Ukiwaangalia unaona ni watu wazima, ila wanafanya mambo ya kitoto kabisa!
 
Unamnyang'anya simu alafu unamwambia aliepo upande wa pili "nahitaji kuhudumiwa hapa" kabla ya kuikata na kuweka mezani.
 
........... hii ni Hospitali ya Tumaini Upanga, inayoendeshwa na Umoja wa Madaktari Muhimbili. Wameishiwa dawa kama Amana ! Hovyooo kabisa ! Pharmacist anafurahia kukwambia dawa hakuna !
 
Unamnyang'anya simu alafu unamwambia aliepo upande wa pili "nahitaji kuhudumiwa hapa" kabla ya kuikata na kuweka mezani.

Nadhani wenzetu wakenya ndo wanaweza kufanya hii mambo kwani wanajua sana haki zao
 
Back
Top Bottom