Na ukitumia mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa CCM wanaprefer ugomvi na matusi kuliko hoja ya mashiko!!! Tafakari. Mkuu JF si mahala pa matamko ya CDM kwa hiyo hata wewe mwenyewe waweza kuandika hoja isiyo na maana ukasingizia CUF au CDM au CCM haitashangaza. Lakini Nape akiongea, Mwigulu akiongea, Bashe akiongea na Rage akitundika bastola yake kiunoni mwake bado tunasema CCM imelinda na kutunza amani ya nchi hii...hizi ni hoja zenye mashiko kweli??? Tafakari tena kauli yako Mkuu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.