Wazee musipate tabu bure Mh. Jussa anatumwa ni Wazanzibari hususan wale wazee na vijana wa CCM ambao wanauchungu na nchi yao ya Zanzibar, kwa sasa Wazee/Vijana hawa chango za uzazi zimewauma na wameshathibitisha kweli kama wakifanya masihara nchi yao itaenda arijojo lakini kutokana na jinsi wazee na vijana hawa walivyo na Usuhuba sana na jamaa zao wa Kitanganyika wamefika mahali hawawezi kujitokeza hadharani kuitetea nchi yao na badala yake wameamua kulitumilia hili JEMBE, na ndio maana huwajawasikia viongozi wa CCM wakipiga kelele sababu wao ndio wanamtuma aseme hicho anachokisema. Kwa upande wa CUF wao wanauwelewa wajibu wao kwa nchi yao tangu siku kilipoasisiwa chama chao.
Acha uzembe wa kufikiri, Jussa atawasumbua wanzanzibari wenzie(probabaly ukiwemo na wewe),
Huku Tanganyika He is a tiny insect in the jungle..
Wee kweli Mpemba,
Matamshi yako na lugha uitumiayo haiendani na lugha swahiih ya Kiswahili.
Wee kweli Mpemba,
Matamshi yako na lugha uitumiayo haiendani na lugha swahiih ya Kiswahili.
Actually he is nothingAcha uzembe wa kufikiri, Jussa atawasumbua wanzanzibari wenzie(probabaly ukiwemo na wewe),
Huku Tanganyika He is a tiny insect in the jungle..
Michango ya Barubaru bwana, utadhani hana PhD!Kweli Jussa anawanyima usingizi Magwanda wa tanganyika.
Kumbukeni katumwa na waZnz wote kutetea haki zao. Katumwa na waliomchagua wana Mji mkongwe, na vile vile wana CUF.
Mpaka kieleweke
Hayo maneno kwenye rangi nyekundu umeyatoa kwenye kamusi gani?Pamoja na mambo mengine lakini nimekuja hapa JF kukufundishen kiswahili fasaha pia, neno gani limekupiga chenga ili nikusaidie japo kwa kukupa mwongozo wa kukufahamisha ni kwenye Kamusi gani la kiswahili unaweza kulipata maana yake halisi hilo neno. Siku nyengine usijaribu kunicomment kuhusu ufahamu wa kiswahili wenzako watakucheka!
Mkuu pamoja na kumpa sifa ambazo hana za ubilionea na kutumwa lakini kijana ni mwana siasa mjanja anyeona mbali kuliko unvyofikiri.Ni kijana sio mzeee
ni bilionea zanzibari na oman
ni mwanasiasa mwenye ushawishi mkubwa
ana miliki visima kama mia vya mafuta tanzania bara na visiwani
ana mijengo mikubwa oman nimesikia na uingereza
ni mmoja wa vijana waanzilishi wa chama cha cuf
huyu ni jusa ismail wa jusa
nani anamtuma,wananchi,wafanya biashara wenzake,alqaeda,matajiri wa oman au cuf???
Actually he is nothing
Paulss said:Maneno anayoyatoa ni mbinu ya kuwateka wazanzibar ili wamkubali, maana Zanzibar ili ukubalike vizuri ni lazima uonyeshae haupo tayari kupokea order toka Tz bara wala usiogope kuwakosoe viongozi wa Tz bara na ndio mchezo anaoucheza Jusa kwa sasa
Paulss said:
Ukitoa neno 'kunicomment' ambalo lina kesi maalum (naweza kukufahamisha ukitaka), kwa hiyo yale maneno mengine hukuyafahamu ama hukuyaamini kama ni maneno ya Kiswahili fasaha?Hayo maneno kwenye rangi nyekundu umeyatoa kwenye kamusi gani?
Kweli Jussa anawanyima usingizi Magwanda wa tanganyika.
Kumbukeni katumwa na waZnz wote kutetea haki zao. Katumwa na waliomchagua wana Mji mkongwe, na vile vile wana CUF.
Mpaka kieleweke
Anawanyima usingizi waume zake Magamba not CDM....
Mkuu pamoja na kumpa sifa ambazo hana za ubilionea na kutumwa lakini kijana ni mwana siasa mjanja anyeona mbali kuliko unvyofikiri.
Jusa ana ndoto ya kuja kuwa rais wa Zanzibar(mark my word)
Jusa amefanikiwa kwa kiasi kikubwa kumbana na kumuweka sawa Maalim Seif kwenye himaya yake na amini usiamni anaandaliwa kuja kurithi mikoba ya Maalim Seif huko mbeleni, na hii ni moja ya sababu iliyo mfanya Hamadi Rashidi kujiona hana thamani ndani ya CUF ni kitendo cha Maalim Seif kuonyesha kumkubali sana Jusa kutoka Unguja na kuwadharau akina Hadai rashidi wenzake kutoka Pemba kiasi cha kumpa cheo kikubwa ambacho hakipo kikatiba
Maneno anayoyatoa ni mbinu ya kuwateka wazanzibar ili wamkubali, maana Zanzibar ili ukubalike vizuri ni lazima uonyeshae haupo tayari kupokea order toka Tz bara wala usiogope kuwakosoe viongozi wa Tz bara na ndio mchezo anaoucheza Jusa kwa sasa
J
Ni kijana sio mzeee
ni bilionea zanzibari na oman
ni mwanasiasa mwenye ushawishi mkubwa
ana miliki visima kama mia vya mafuta tanzania bara na visiwani
ana mijengo mikubwa oman nimesikia na uingereza
ni mmoja wa vijana waanzilishi wa chama cha cuf
huyu ni jusa ismail wa jusa
nani anamtuma,wananchi,wafanya biashara wenzake,alqaeda,matajiri wa oman au cuf???
Umeongea nini hapa! Fanya summary ya maelezo yako ili uweleweke vizuri.
Jusa sio bilionea wala hana huo utajiri unaousema wewe wa kumiliki visima vya mafuta karibu mia tanzania bara na visiwani ni Tanzania hii tunayoifahamu kuna Tanzania nyingine.
Sana sana Jusa anaonekana ni mtu asiye na mwelekeo na ambaye hana sera.