CUF ya Lipumba Yatoa Ufafanuzi Baada ya Mbunge Wake Kuhamia CCM

Sir Lindege

Member
Sep 10, 2013
34
180
Chama cha wananchi (CUF) upande wa Lipumba, kimesema aliyekuwa mbunge wa Kinondoni kupitia chama hicho Maulid Mtulia amejiuza kwa CCM na alikuwa akijaribu kufanya hivyo kwa muda mrefu

- Afisa habari wa chama hicho, Abdul Kambaya amesema Mtulia alishawahi kujitoa kugombea udiwani dakika za mwisho mwaka 2005 na pia kujaza vibaya fomu ya kugombea ubunge mwaka 2015 na kusababisha NEC kumuondoa

Kibaraka wa CCM na yeye atangaze tu kumuunga boss wake mkono,ama anasubiri hadi apewe ubalozi Arabuni?!
 
Hivi niliwahi kusikia pro-pesa nae ana mchumba tu hana mke yule rafiki yake aliyehamia canada alioa mchumba wake kule kule canada baada ya kuwa wachumba wa muda mrefu. Ila huyu pro-pesa nasikia bado anaishi na mchumba tu. Akili zake bado sana huyu hajaamua wala hafikirii kukua bado mdogo ndio maana analeta mambo ya kivulana kwenye siasa. Nadhani utaalamu wake kwenye uchumi pia ni wa kugoogle tu kama wafanyavyo wavulana kutafuta kwenye google dating tips
 
NASKIA NA WASHABIKI WA 'arsenal' nao wameamua kuiunga mkono MANCHESTER CITY KWAKUWA IPO VIZURI KWENYE MSIMAMO WA LIGI, SASA KWA KUWA WOTE LENGO LAO NI KUTWAA UBINGWA NA MAN CITY IPO JUU KILELENI ARSENAL WAMEONA WAWE WAUNGWANA NA KUIUNGA MKONO MAN CITY.
 
Hivi niliwahi kusikia pro-pesa nae ana mchumba tu hana mke yule rafiki yake aliyehamia canada alioa mchumba wake kule kule canada baada ya kuwa wachumba wa muda mrefu. Ila huyu pro-pesa nasikia bado anaishi na mchumba tu. Akili zake bado sana huyu hajaamua wala hafikirii kukua bado mdogo ndio maana analeta mambo ya kivulana kwenye siasa. Nadhani utaalamu wake kwenye uchumi pia ni wa kugoogle tu kama wafanyavyo wavulana kutafuta kwenye google dating tips
Kwani dhambi kuishi na mchumba hata miaka 10?
 
Sio dhambi ila kwenye assessment za kujadili uwezo wako wa kuamua mambo makubwa linaweka doa gumu kati ya kufaa kwako au kutofaa kwako haswa sekta ya ulaghai na utapeli kwa maana vingi huanzia nyumbani kwako.
 
Hivi niliwahi kusikia pro-pesa nae ana mchumba tu hana mke yule rafiki yake aliyehamia canada alioa mchumba wake kule kule canada baada ya kuwa wachumba wa muda mrefu. Ila huyu pro-pesa nasikia bado anaishi na mchumba tu. Akili zake bado sana huyu hajaamua wala hafikirii kukua bado mdogo ndio maana analeta mambo ya kivulana kwenye siasa. Nadhani utaalamu wake kwenye uchumi pia ni wa kugoogle tu kama wafanyavyo wavulana kutafuta kwenye google dating tips
Jikite kwenye hoja mambo ya uchumba ya nini mbona wewe una michepuko kila kona hatusemi
 
Hivi niliwahi kusikia pro-pesa nae ana mchumba tu hana mke yule rafiki yake aliyehamia canada alioa mchumba wake kule kule canada baada ya kuwa wachumba wa muda mrefu. Ila huyu pro-pesa nasikia bado anaishi na mchumba tu. Akili zake bado sana huyu hajaamua wala hafikirii kukua bado mdogo ndio maana analeta mambo ya kivulana kwenye siasa. Nadhani utaalamu wake kwenye uchumi pia ni wa kugoogle tu kama wafanyavyo wavulana kutafuta kwenye google dating tips
Kwa hili naomba nimtetee maana nke yake yupo kutoka Marangu! Ni mtumishi katika taasisi ya umoja wa mataifa. Niishie hapo! Prof Lipumba is a family person na mke wake haingilii siasa.
 
Hii ni baada ya aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo Maulid mtulia kuhamia CCM ,kauli hiyo imetolewa na msemaji wa CUF
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom