Cuf wawaiga chadema

Ndulungu

Member
Oct 22, 2011
87
49
Chama cha wananchi cuf kimeiga wazo lililobuniwa na chadema kwenda kumuona rais kujadili sheria iliyotiwa sain ya kuruhusu mabadiliko ya katiba hii inaonesha cdm ina viongozi makini na wenye mawazo yenye tija kwa maslahi ya taifa.
 
Back
Top Bottom