CUF wasaliti wa wazanzibari!

JOB SEEKER

Senior Member
Aug 1, 2011
145
33
Wana Jf

Mnamo mwaka 2001,CUF ilifanya maandamano makubwa Zanzibar

kwa nia ya dhati ya kudai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.

Katika maandamano hayo watu zaidi ya 70 Walipoteza maisha huku

katibu mkuu wa chama hicho Maalim Seif akinjika mkono yote hayo

ni katika kudai haki na ukombozi wa mzanzibar dhidi ya uonevu wa

serikali iliyokuwa madarakani.

Hakuna anayebeza harakati za CUF hata kidogo,walifanya mambo ya

msingi ili kutetea demokrasia katika visiwa vya zanzibar mwaka 2001

Lakini cha kushangaza wana CUF Wamesahau walichokuwa

wanapiganiana, kulilia mwaka 2001,Haingii akilini utawezaje kupata

katiba mpya juu ya mfumo uliopo sasa,Tume zinazochaguliwa na

Raisi zimekuwa chanzo cha maovu,utawezaje kupata katiba mpya juu

ya Tume ya uchaguzi inayoratibu shughuli za katiba, iliyochaguliwa

na Raisi ambaye ni kiongozi wa chama cha siasa na utendaji

umekuwa mashakani kwa miongo kadhaa,Cuf inasapoti haya

pamoja na mengine mengi, Wanzibar baadhi yao walipoteza maisha

kama ishara ya ukombozi,wengine waligeuka wakimbizi katika nchi

yao.Je walikuwa walilia katiba mpya kwa mifumo iliyokandamizi kama hii ???

CUF walichokuwa wanalilia nini ?? tamaa ya uongozi au

wananchi,kwanini walikuwa wanapinga katiba iliyopo kwani ilipakana

katika njia ambazo ni kandamizi ambapo njia hizo ndizo

wanasapoti sasa ili kupata katiba mpya, wamewasahau wananchi wa

wazanzibar na huu ni USALITI Unaotakiwa kupingwa.

Wanatakiwa kujua kwamba muafaka wao na ccm siyo chanzo cha kuwasaliti

wazanzibari bali nakujiona sehemu ya ccm bali kutetea walichokuwa wanakiamini

na siyo kutetereka CUF HATUHITAJI BORA KATIBA BALI TUNAHITAJI KATIBA BORA.

JOB SEEKER
 
Zanzibar ni vigeugeu, mi ndio maana nawakodolea tu pua langu, maana naogopa kuwakodolea jicho, hawakawii kukuweka mjiti
 
kama kweli wazanzibar wataliona hili nadhan watasema kitu, mi yangu macho maana nikisema nitaonekana chadema
 
CUf baada ya kulambishwa sukari wa uongozi zanzibar imepelekea wao kula kiapo cha kulinda penzi lao na mumewe CCM. Huu ni usaliti mkubwa na ni funzo kwa CHADEMA kupinga serikali za kikoloni mamboleo zinazokuja kwa majina ya UMOJA WA KITAIFA.
 
Wazungu wanasema if you cant beat them, join them. Wao wamegeuza, if cant beat them MARRY them. Ushauri kwa jamaa zangu CUF ni kuwa mapambano ya ukombozi yanahitaji uvumilivu na sio kulegea baada ya kuahidiwa madaraka. Wanao kula bata saivi ni Maalim Seif na wenzie wachache wakati maelfu ya wazanzibari hawana mtetezi,
 
Maalim Seif hajawahi shiriki maandamano hata mara moja, yeye alikuwa anawajaza jazba wana -CUF wakishakolea yeye anapanda pipa anaenda kula bata ulaya anasikilizia tifu likitulia anarudi hapo Star light hotel, aliyewahi kuvunjwa mkono no Profesa Lipumba.Huyu Maalim damu za wapemba waliochinjwa na mbwa wa CCM zitamlilia mpaka anaingia kaburini, msaliti mkubwa
 
CUf baada ya kulambishwa sukari wa uongozi zanzibar imepelekea wao kula kiapo cha kulinda penzi lao na mumewe CCM. Huu ni usaliti mkubwa na ni funzo kwa CHADEMA kupinga serikali za kikoloni mamboleo zinazokuja kwa majina ya UMOJA WA KITAIFA.

Bora CUF ambao ndoa yao iko wazi na ni rasmi. Chadema wanaoshirikiana na kutumiwa na mafisadi ni wabaya kuliko hata hao CUF.
 
Unaikumbuka list of shame ya mwembe yanga inavyozidi kuisambaratisha CCM hadi leo? Ukijibu hilo utatambua CUF wamefunga ndoa na mume wa aina gani.
Bora CUF ambao ndoa yao iko wazi na ni rasmi. Chadema wanaoshirikiana na kutumiwa na mafisadi ni wabaya kuliko hata hao CUF.
 
Wana Jf

Mnamo mwaka 2001,CUF ilifanya maandamano makubwa Zanzibar

kwa nia ya dhati ya kudai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.

Katika maandamano hayo watu zaidi ya 70 Walipoteza maisha huku

katibu mkuu wa chama hicho Maalim Seif akinjika mkono yote hayo

ni katika kudai haki na ukombozi wa mzanzibar dhidi ya uonevu wa

serikali iliyokuwa madarakani.

Hakuna anayebeza harakati za CUF hata kidogo,walifanya mambo ya

msingi ili kutetea demokrasia katika visiwa vya zanzibar mwaka 2001

Lakini cha kushangaza wana CUF Wamesahau walichokuwa

wanapiganiana, kulilia mwaka 2001,Haingii akilini utawezaje kupata

katiba mpya juu ya mfumo uliopo sasa,Tume zinazochaguliwa na

Raisi zimekuwa chanzo cha maovu,utawezaje kupata katiba mpya juu

ya Tume ya uchaguzi inayoratibu shughuli za katiba, iliyochaguliwa

na Raisi ambaye ni kiongozi wa chama cha siasa na utendaji

umekuwa mashakani kwa miongo kadhaa,Cuf inasapoti haya

pamoja na mengine mengi, Wanzibar baadhi yao walipoteza maisha

kama ishara ya ukombozi,wengine waligeuka wakimbizi katika nchi

yao.Je walikuwa walilia katiba mpya kwa mifumo iliyokandamizi kama hii ???

CUF walichokuwa wanalilia nini ?? tamaa ya uongozi au

wananchi,kwanini walikuwa wanapinga katiba iliyopo kwani ilipakana

katika njia ambazo ni kandamizi ambapo njia hizo ndizo

wanasapoti sasa ili kupata katiba mpya, wamewasahau wananchi wa

wazanzibar na huu ni USALITI Unaotakiwa kupingwa.

Wanatakiwa kujua kwamba muafaka wao na ccm siyo chanzo cha kuwasaliti

wazanzibari bali nakujiona sehemu ya ccm bali kutetea walichokuwa wanakiamini

na siyo kutetereka CUF HATUHITAJI BORA KATIBA BALI TUNAHITAJI KATIBA BORA.

JOB SEEKER
 
wana jf

mnamo mwaka 2001,cuf ilifanya maandamano makubwa zanzibar

kwa nia ya dhati ya kudai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.

Katika maandamano hayo watu zaidi ya 70 walipoteza maisha huku

katibu mkuu wa chama hicho maalim seif akinjika mkono yote hayo

ni katika kudai haki na ukombozi wa mzanzibar dhidi ya uonevu wa

serikali iliyokuwa madarakani.

Hakuna anayebeza harakati za cuf hata kidogo,walifanya mambo ya

msingi ili kutetea demokrasia katika visiwa vya zanzibar mwaka 2001

lakini cha kushangaza wana cuf wamesahau walichokuwa

wanapiganiana, kulilia mwaka 2001,haingii akilini utawezaje kupata

katiba mpya juu ya mfumo uliopo sasa,tume zinazochaguliwa na

raisi zimekuwa chanzo cha maovu,utawezaje kupata katiba mpya juu

ya tume ya uchaguzi inayoratibu shughuli za katiba, iliyochaguliwa

na raisi ambaye ni kiongozi wa chama cha siasa na utendaji

umekuwa mashakani kwa miongo kadhaa,cuf inasapoti haya

pamoja na mengine mengi, wanzibar baadhi yao walipoteza maisha

kama ishara ya ukombozi,wengine waligeuka wakimbizi katika nchi

yao.je walikuwa walilia katiba mpya kwa mifumo iliyokandamizi kama hii ???

Cuf walichokuwa wanalilia nini ?? Tamaa ya uongozi au

wananchi,kwanini walikuwa wanapinga katiba iliyopo kwani ilipakana

katika njia ambazo ni kandamizi ambapo njia hizo ndizo

wanasapoti sasa ili kupata katiba mpya, wamewasahau wananchi wa

wazanzibar na huu ni usaliti unaotakiwa kupingwa.

Wanatakiwa kujua kwamba muafaka wao na ccm siyo chanzo cha kuwasaliti

wazanzibari bali nakujiona sehemu ya ccm bali kutetea walichokuwa wanakiamini

na siyo kutetereka cuf hatuhitaji bora katiba bali tunahitaji katiba bora.

Job seeker

wivu mbaya sana kumbe1
 
Back
Top Bottom