DuppyConqueror
JF-Expert Member
- Mar 30, 2014
- 9,466
- 6,961
CUF oyeeeeeeeeeeeeeeee--UKAWA --oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee..CCM Ziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Mbona kama unalia mkuu?
CUF oyeeeeeeeeeeeeeeee--UKAWA --oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee..CCM Ziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Asante sana Jussa. ,
Wataisoma naba walidhani kuwa na pesa zimejaa kwenye magunia ndiyo kila kitu watabaki na mafisadi wao tu.
Kwa kweli nawatakia CUF kila la heri. Kuhama chama ni maamuzi ya kidemokrasia. Lakini swali ni hili, Why now? Lipumba anatakiwa kufahamu kwenye kila jambo kuna ku-give na ku-take. Huyu Lipumba kashindwa ku-give na anataka tu ku-take. Haiwezekani. Safari njema profesa Lipumba. Kitokuwepo kwako will not be felt much.
Kikwete anapotezwa na wapambe wanaomzunguka. Inaonekana ameshapigwa panic kali sana sana na sasa anakubali ushauri wowote bila kujiuliza mara mbili. Inachekesha sana jinsi walivyowapa fedha kina Lipumba na kuwaambia waseme. Kuna makosa mengi sana ya kiufundi yanafanyika kiasi ambacho hata ''waliokuwa wamelala'' sasa watajua kila kitu! SUBIRI UONE HII PLAN YA KUNUNUA WATU ITAVYO-BACKFIRE vibaya kwa CCM!